DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Hivi umewahi kufikiria dunia ya leo ingekuwaje bila Urusi?
Kwamba Marekani na washirika wake ndo wangekuwa na nguvu ya kusema na kutenda wanavyotaka ingekuwaje?
Kwamba kila azimio kwenye baraza la Usalama wa UN turufu angekuwa nayo Marekani peke yake ingekuwaje?
Hivi bila nguvu ya kijeshi na kiuchumi wa Urusi ya kusimama dhidi ya mafedhuli dunia ingekuwaje?
Hivi bila Mwamba Jeuri na Jasiri former KGB spy, Vladimir Putin kuwa mtu asiyependa ujinga na kuonewa dunia ingekuwaje?
Kwamba Putin asingekuwepo leo, kuna mtu angemkanya Marekani? Je Marekani angemuogopa nani?
Hakika hatuna budi kuishukuru na kuitakia mafanikio Urusi na mwamba Vladimir Putin kheri.
Asante sana Putin, Asante sana Urusi kwa kusimama kwenye nafasi yako.