Asante Sana Urusi, Asante sana Vladimir Putin kwa kusimama kiume dhidi ya Mafedhuli

Asante Sana Urusi, Asante sana Vladimir Putin kwa kusimama kiume dhidi ya Mafedhuli

Muha wa kibondo kigoma mwenye asili ya kongo ambae maisha yake ya utotoni yalimalizikia kwenye kambi za wakimbizi ,leo baada ya kula fadhila na msaada ya hao unaowaita mafedhuli kwenye kambi hizo umejisahau mja, hakuna mbaya kwa wote, hata huyo putin ulimwagia sifa asizostahiki ana mapungufu.
Maisha ya utotoni ni yake mwenyewe, Putin ameweka balance ya ulimwengu
 
IMG_3908.jpg
 
Muha wa kibondo kigoma mwenye asili ya kongo ambae maisha yake ya utotoni yalimalizikia kwenye kambi za wakimbizi ,leo baada ya kula fadhila na msaada ya hao unaowaita mafedhuli kwenye kambi hizo umejisahau mja, hakuna mbaya kwa wote, hata huyo putin ulimwagia sifa asizostahiki ana mapungufu.
Upo empty sana kichwani. kwa wehu wako unafikiri anaefanya kongo isitawalike wala kuisha migogorlo ni nani kama sio fedhuli anayechota madini ya kongo kiurahisi? hao mafedhuli ndio wanatengeneza vita kongo na wanakuja mashirika yao kujifanya wanahuruma kwa wakongo.
 
Muha wa kibondo kigoma mwenye asili ya kongo ambae maisha yake ya utotoni yalimalizikia kwenye kambi za wakimbizi ,leo baada ya kula fadhila na msaada ya hao unaowaita mafedhuli kwenye kambi hizo umejisahau mja, hakuna mbaya kwa wote, hata huyo putin ulimwagia sifa asizostahiki ana mapungufu.
Acha fikra za kitumwa we kuwadi
 
[emoji3517]BREAKING: Takriban au zaidi ya wanajesh wa ukraine 500 wa Brigedi ya 59 wameuwawa baada ya workshop ya kutengeneza meli walipokuwa wamejificha uko Nikolaevk kuharibiwa vibaya na makombora.

Taarifa za awali kulikuwa na mamluki kama 30 wa [emoji631][emoji636] wameuwawa na wengine kujeruhiwa
 
1.Marekani amevamia nchi zifuatazo na kuua maelfu ya watu Libya,Yemen,Iraq,Afghanistan,na makumi ya nchi hapa duniani.

2.aslimia kubwa ya stock ya Chakula cha Urusi haiendi Africa kimsingi Ulaya ndio hasa inategemea chakula cha Urusi,Africa has nothing to do with it.

3.Marekani anahusika kupachika madikteta zaidi ya Robo tatu katika nchi za America kusini zikiwemo Guatemala,Cuba(Furgencio Batista),Bolivia n.k

Kwahiyo unataka kutuambia nn ndugu Yodavichenko!?
akijibu hii nondo yako kwa usahihi na kwa ushahidi, nitajipa siku tano za kukaa kando na jf. sitoingia jf kwa siku tano.
 
Anavyo rusha iskanders na kutungua zile drones jamaa ni mwanaume kweli alaf hataki chawa wala nini alaf ukijidai unamjua sana kwenye kikao mnakaa mita 500 ndo mnaongea hataki wanafki show anaipiga mwenyewe USA kabaki anaimba taarabu tu kaweka vikwazo yeye na madhara kaanza kuyapata yeye kabla ya Russia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom