hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Go go VladimirEuropean balance of power......now imekua world balance of power....
Go go PUTIN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go go VladimirEuropean balance of power......now imekua world balance of power....
Go go PUTIN
Ulichoongea ni kinyume yaani LISHOGA linakuja kukupanulia mnduku linakulazimisha kulidunga dusheYaani wangeamua tu siku moja wanaume wote duniani tubanguliwe.
1.Marekani amevamia nchi zifuatazo na kuua maelfu ya watu Libya,Yemen,Iraq,Afghanistan,na makumi ya nchi hapa duniani.
2.aslimia kubwa ya stock ya Chakula cha Urusi haiendi Africa kimsingi Ulaya ndio hasa inategemea chakula cha Urusi,Africa has nothing to do with it.
3.Marekani anahusika kupachika madikteta zaidi ya Robo tatu katika nchi za America kusini zikiwemo Guatemala,Cuba(Furgencio Batista),Bolivia n.k
Kwahiyo unataka kutuambia nn ndugu Yodavichenko!?
Wewe umeona uvamizi wa Ukraine ndo issue kubwa...hizo vamizi zingine waliofanya hao West huzioni??1. Kusingekuwa na Uvamizi Ukraine.
2. Africa isingekuwa inategemea Urusi kwa chakula na kuishia kuteseka vita inapotokea.
3. Madikteta kama Maduro au Assad wa wasingekuwa na msaada kutoka nje
1.Libya NATO walienda kuweka no fly zone kwa idhini ya UN kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi, Yemen wako kwenye civil war, Afghanistan chini ya Taliban walikuwa wanahifadhi magaidi wa Al Qaeda walioua watu 3000 wa US September 11.
2.Asilimia kubwa ya Ngano kutoka Urusi na Ukraine ndio inayoliwa Africa hasa Misri, Nigeria,Algeria na Morocco. Fahamu tu kwamba Ufaransa, Ujerumani na Poland ni wazalishaji wakubwa wa Ngano na wanauza kiwango kikubwa nje ya nchi zao, UK inazalisha ngano ya kutosha kwa nchi yake. Urusi inaagiza sehemu kubwa ya matunda kutoka EU.
3.Mambo ya US ku support madikteta ilitokana zaidi na USSR kulazimisha Ukomunisti kwenye maeneo mbalimbali duniani, ile ilikuwa vita baridi ambayo US naye alitumia hadi msaada wa "shetani"(nikirejea maneno ya Membe) kupambana na giza la Ukomunisti.
Leta Hoja.
Mi niulize tu kupata ufahamu.
KWANINI MAREKAN NA ULAYA WASHIRIKA HUWA WANA SERA ZA KISHETANI?
mf.
1. Kwanin wailazimishe dunia ikubali ushoga! Ili iweje!
2. Kwanini wao ndo wana mbinu chafu sana za kujipatia kipato km looting and plundering?
km kutupiga magonjwa ili wauze dawa?
Kwanini dunia haipumui kwa amani kisa marekani?
Je ni kweli hawana namna ya kufanya biashara kwa mizania ya rasilimali walizinazo! Au matumiz yanawazidia? Maana kwa akili tu walizojaliwa upande wa teknolojia na consultation tu wanapata pesa ya dunian kote.
Sasa UN wanasubiri nini kupitisha azimio la kuweka no fly zone pale Ukraine?1.Libya NATO walienda kuweka no fly zone kwa idhini ya UN kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi, Yemen wako kwenye civil war, Afghanistan chini ya Taliban walikuwa wanahifadhi magaidi wa Al Qaeda walioua watu 3000 wa US September 11.
2.Asilimia kubwa ya Ngano kutoka Urusi na Ukraine ndio inayoliwa Africa hasa Misri, Nigeria,Algeria na Morocco. Fahamu tu kwamba Ufaransa, Ujerumani na Poland ni wazalishaji wakubwa wa Ngano na wanauza kiwango kikubwa nje ya nchi zao, UK inazalisha ngano ya kutosha kwa nchi yake. Urusi inaagiza sehemu kubwa ya matunda kutoka EU.
3.Mambo ya US ku support madikteta ilitokana zaidi na USSR kulazimisha Ukomunisti kwenye maeneo mbalimbali duniani, ile ilikuwa vita baridi ambayo US naye alitumia hadi msaada wa "shetani"(nikirejea maneno ya Membe) kupambana na giza la Ukomunisti.
Leta Hoja.
Kaka tuendelee kuchatAfrica haihusiki na lolote juu ya hii vita ni upumbavu wa Watanzania kudanganywa ati bei ya mafuta imepanda tokana na vita wakati mafuta tunachukulia uarabuni na sio urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa UN wanasubiri nini kupitisha azimio la kuweka no fly zone pale Ukraine?
Silazimishwi in person bali kupitia sera zao na kampeni zao ikiwemo kupitia negotiations zao na sisi katika mambo ya kiuchumi hasa mikopo na ufadhili.1.Wewe kuna mtu amekulazimisha kuwa shoga? Unamfahamu mtu yeyote aliyelazimishwa na EU au US kuwa shoga??
2.Looting and plundering imefanywa na jamii zote duniani, hata Wangoni wamefika Tanzania kwa sababu ya looting na plundering ya Shaka Zulu, Wachina Wamefanya looting kubwa chini ya Mao na hata huko nyuma karne nyingi, Anachofanya Urusi huko Ukraine tangu 2014 ni looting na plundering, Urusi pia amewahai kufanya uporaji wa ardhi Finland na Georgia.
Oyaa[emoji1787][emoji16][emoji16] ile Islander haijawahi kukosea asee alaf mashine inaenda hakuna mfumo wwte mpaka sasa unaoweza kutungua ile kitu maana hio kasi yake balaa [emoji1787] na ikitua lazima sehemu igeuze kifusi, imewapa shida sana NatoAnavyo rusha iskanders na kutungua zile drones jamaa ni mwanaume kweli alaf hataki chawa wala nini alaf ukijidai unamjua sana kwenye kikao mnakaa mita 500 ndo mnaongea hataki wanafki show anaipiga mwenyewe USA kabaki anaimba taarabu tu kaweka vikwazo yeye na madhara kaanza kuyapata yeye kabla ya Russia
Oyaa[emoji1787][emoji16][emoji16] ile Islander haijawahi kukosea asee alaf mashine inaenda hakuna mfumo wwte mpaka sasa unaoweza kutungua ile kitu maana hio kasi yake balaa [emoji1787] na ikitua lazima sehemu igeuze kifusi, imewapa shida sana Nato
Naona kaandika kama kakurupuka usingiziniNdo nini sasa hizi?
Zimewapeleka moto balaaa [emoji16]Kwa Urussi iskander ni silaha ya kawaida tu wanakwambia[emoji23]. Russia hizo iskander atauza sana aseee manake zimeonesha ni balaa zikiwa mzigoni
Sasa ushoga unahusu nn hapa? Kwahiyo hii vita ndo suluhisho la kuondoa ushoga? Watu mmechanganyikiwa wallah.Ushoga ungenitonya njenje
Muda mwingine muwe mnakaa kimya kuepusha kujichoresha mbele ya wengine,Mi niulize tu kupata ufahamu.