ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Maisha ya utotoni ni yake mwenyewe, Putin ameweka balance ya ulimwenguMuha wa kibondo kigoma mwenye asili ya kongo ambae maisha yake ya utotoni yalimalizikia kwenye kambi za wakimbizi ,leo baada ya kula fadhila na msaada ya hao unaowaita mafedhuli kwenye kambi hizo umejisahau mja, hakuna mbaya kwa wote, hata huyo putin ulimwagia sifa asizostahiki ana mapungufu.
Russia in the real deal
Nato inakwenda kuvunjika wakifanya mchezo na watakao ivunja nato ni wananchi wa nato wenyeweHadi raha. Ulaya tayari hali tete. Maandamano kila kona.
Naushoga nausagaji ungekua kama kula nakunywa1. Kusingekuwa na Uvamizi Ukraine.
2. Africa isingekuwa inategemea Urusi kwa chakula na kuishia kuteseka vita inapotokea.
3. Madikteta kama Maduro au Assad wa wasingekuwa na msaada kutoka nje
Uko sahihi mkuuNato inakwenda kuvunjika wakifanya mchezo na watakao ivunja nato ni wananchi wa nato wenyewe
Upo empty sana kichwani. kwa wehu wako unafikiri anaefanya kongo isitawalike wala kuisha migogorlo ni nani kama sio fedhuli anayechota madini ya kongo kiurahisi? hao mafedhuli ndio wanatengeneza vita kongo na wanakuja mashirika yao kujifanya wanahuruma kwa wakongo.Muha wa kibondo kigoma mwenye asili ya kongo ambae maisha yake ya utotoni yalimalizikia kwenye kambi za wakimbizi ,leo baada ya kula fadhila na msaada ya hao unaowaita mafedhuli kwenye kambi hizo umejisahau mja, hakuna mbaya kwa wote, hata huyo putin ulimwagia sifa asizostahiki ana mapungufu.
Acha fikra za kitumwa we kuwadiMuha wa kibondo kigoma mwenye asili ya kongo ambae maisha yake ya utotoni yalimalizikia kwenye kambi za wakimbizi ,leo baada ya kula fadhila na msaada ya hao unaowaita mafedhuli kwenye kambi hizo umejisahau mja, hakuna mbaya kwa wote, hata huyo putin ulimwagia sifa asizostahiki ana mapungufu.
akijibu hii nondo yako kwa usahihi na kwa ushahidi, nitajipa siku tano za kukaa kando na jf. sitoingia jf kwa siku tano.1.Marekani amevamia nchi zifuatazo na kuua maelfu ya watu Libya,Yemen,Iraq,Afghanistan,na makumi ya nchi hapa duniani.
2.aslimia kubwa ya stock ya Chakula cha Urusi haiendi Africa kimsingi Ulaya ndio hasa inategemea chakula cha Urusi,Africa has nothing to do with it.
3.Marekani anahusika kupachika madikteta zaidi ya Robo tatu katika nchi za America kusini zikiwemo Guatemala,Cuba(Furgencio Batista),Bolivia n.k
Kwahiyo unataka kutuambia nn ndugu Yodavichenko!?
Eiimen [emoji120][emoji120]Mungu mlinde Putin, Mungu ilinde Dunia dhidi ya mafedhuri
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Anavyo rusha iskanders na kutungua zile drones jamaa ni mwanaume kweli alaf hataki chawa wala nini alaf ukijidai unamjua sana kwenye kikao mnakaa mita 500 ndo mnaongea hataki wanafki show anaipiga mwenyewe USA kabaki anaimba taarabu tu kaweka vikwazo yeye na madhara kaanza kuyapata yeye kabla ya Russia