Asante Sana Urusi, Asante sana Vladimir Putin kwa kusimama kiume dhidi ya Mafedhuli

1.Libya NATO walienda kuweka no fly zone kwa idhini ya UN kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi, Yemen wako kwenye civil war, Afghanistan chini ya Taliban walikuwa wanahifadhi magaidi wa Al Qaeda walioua watu 3000 wa US September 11.

2.Asilimia kubwa ya Ngano kutoka Urusi na Ukraine ndio inayoliwa Africa hasa Misri, Nigeria,Algeria na Morocco. Fahamu tu kwamba Ufaransa, Ujerumani na Poland ni wazalishaji wakubwa wa Ngano na wanauza kiwango kikubwa nje ya nchi zao, UK inazalisha ngano ya kutosha kwa nchi yake. Urusi inaagiza sehemu kubwa ya matunda kutoka EU.

3.Mambo ya US ku support madikteta ilitokana zaidi na USSR kulazimisha Ukomunisti kwenye maeneo mbalimbali duniani, ile ilikuwa vita baridi ambayo US naye alitumia hadi msaada wa "shetani"(nikirejea maneno ya Membe) kupambana na giza la Ukomunisti.

Leta Hoja.
 

Ndo nini sasa hizi?
 
Mi niulize tu kupata ufahamu.
KWANINI MAREKAN NA ULAYA WASHIRIKA HUWA WANA SERA ZA KISHETANI?
mf.
1. Kwanin wailazimishe dunia ikubali ushoga! Ili iweje!
2. Kwanini wao ndo wana mbinu chafu sana za kujipatia kipato km looting and plundering?
km kutupiga magonjwa ili wauze dawa?
Kwanini dunia haipumui kwa amani kisa marekani?
Je ni kweli hawana namna ya kufanya biashara kwa mizania ya rasilimali walizinazo! Au matumiz yanawazidia? Maana kwa akili tu walizojaliwa upande wa teknolojia na consultation tu wanapata pesa ya dunian kote.
 
1.Wewe kuna mtu amekulazimisha kuwa shoga? Unamfahamu mtu yeyote aliyelazimishwa na EU au US kuwa shoga??

2.Looting and plundering imefanywa na jamii zote duniani, hata Wangoni wamefika Tanzania kwa sababu ya looting na plundering ya Shaka Zulu, Wachina Wamefanya looting kubwa chini ya Mao na hata huko nyuma karne nyingi, Anachofanya Urusi huko Ukraine tangu 2014 ni looting na plundering, Urusi pia amewahai kufanya uporaji wa ardhi Finland na Georgia.
 
Sasa UN wanasubiri nini kupitisha azimio la kuweka no fly zone pale Ukraine?
 
Silazimishwi in person bali kupitia sera zao na kampeni zao ikiwemo kupitia negotiations zao na sisi katika mambo ya kiuchumi hasa mikopo na ufadhili.
Najua unaelewa kama wanashinikiza au la! Labda kama umeshawakubalia.
 
Oyaa[emoji1787][emoji16][emoji16] ile Islander haijawahi kukosea asee alaf mashine inaenda hakuna mfumo wwte mpaka sasa unaoweza kutungua ile kitu maana hio kasi yake balaa [emoji1787] na ikitua lazima sehemu igeuze kifusi, imewapa shida sana Nato
 
Oyaa[emoji1787][emoji16][emoji16] ile Islander haijawahi kukosea asee alaf mashine inaenda hakuna mfumo wwte mpaka sasa unaoweza kutungua ile kitu maana hio kasi yake balaa [emoji1787] na ikitua lazima sehemu igeuze kifusi, imewapa shida sana Nato

Kwa Urussi iskander ni silaha ya kawaida tu wanakwambia[emoji23]. Russia hizo iskander atauza sana aseee manake zimeonesha ni balaa zikiwa mzigoni
 
Ushoga ungenitonya njenje
Sasa ushoga unahusu nn hapa? Kwahiyo hii vita ndo suluhisho la kuondoa ushoga? Watu mmechanganyikiwa wallah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muda mwingine muwe mnakaa kimya kuepusha kujichoresha mbele ya wengine,
Sasa ndo umeandika nn hapa? Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…