Asante sana we mdada ulionilipia nauli

Asante sana we mdada ulionilipia nauli

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Nadhani upo humu,

Kama kweli basi pokea asante yangu. Ilikuwa hivi:

Naamka najiandaa kwenda job, Naingia kwenye gari kuweka switch on kitaa cha wese kina blink, sio kesi ni kawaida tu matarehe yakichachamaaga hivi kulitelekeza gari na kujiunga na public transport.

Mzee baba nikachomoka kwenye gari nikakimbilia kituo cha daldala chaap, (nilikua nishachelewa)
Nikazama nikapambania siti, hatimae nikapata safari ikiendelea ulekeo makumbusho,

Baada ya vituo kadhaa konda huyoo anapitia kudai chake, nikajisachi mifuko yote hakuna hata silva ukiachana na masimu tu. Hee nikakumbuka kumbe mzigo niliuacha pale kwenye gari nikaamka kama nilivyo. Nilifanikiwa kuokota simu tu! Daah itakuaje.

Konda alivyoona nazidi kujisachi bilamafanikio huyoo akaendelea siti nyingine. Baada ya muda konda huyo karudi tena. Daah Leo nishaumbuka!

Nikamwomba konda kwa upole kua pesa ipo kwenye simu nashuka mwisho wa gari nitakutolea kwa wakala nikishuka.

Dizaini konda akataka aanze kuzingua pale "tatizo muda" Daah mzee baba nikaona mzee mzima naumbuka leo. Basi nikatulia zangu tu siti ya upande wa pili kuna mdada kumbe alishachora michoro yote.

Ki buss hichoo kinaingia makumbusho huku naangazaaangaza sehemu ya mpesa nikishuka tu nimtolee konda pesa yake mwishowe kibasi kikasimama. Konda kakomaa mlangoni abiria ndio tunashuka.

Ghafla Mdada (mrembo) akanifata akaniminyia jero "mpe hii konda". Daah sijaamni macho yangu.

Nilishindwa kukushukuru pale public nimeona nije nikushukuru huku. Asante sana.
 
IMG_20230401_121222.jpg

Au basi😅
 
Nadhani upo humu,

Kama kweli basi pokea asante yangu.
Ilikuwa hivi.

Naamka najiandaa kwenda job, Naingia kwenye gari kuweka switch on kitaa cha wese kina blink, sio kesi ni kawaida tu matarehe yakichachamaaga hivi kulitelekeza gari na kujiunga na public transport.

Mzee baba nikachomoka kwenye gari nikakimbilia kituo cha daldala chaap, (nilikua nishachelewa)
Nikazama nikapambania siti, hatimae nikapata safari ikiendelea ulekeo makumbusho,

Baada ya vituo kadhaa konda huyoo anapitia kudai chake, nikajisachi mifuko yote hakuna hata silva ukiachana na masimu tu. Hee nikakumbuka kumbe mzigo niliuacha pale kwenye gari nikaamka kama nilivyo. Nilifanikiwa kuokota simu tu! Daah itakuaje!

Konda alivyoona nazidi kujisachi bilamafanikio huyoo akaendelea siti nyingine.

Baada ya muda konda huyo karudi tena. Daah Leo nishaumbuka!

Nikamwomba konda kwa upole kua pesa ipo kwenye simu nashuka mwisho wa gari nitakutolea kwa wakala nikishuka.

Dizaini konda akataka aanze kuzingua pale "tatizo muda" Daah mzee baba nikaona mzee mzima naumbuka leo.
Basi nikatulia zangu tu siti ya upande wa pili kuna mdada kumbe alishachora michoro yote.

Ki buss hichoo kinaingia makumbusho huku naangazaaangaza sehemu ya mpesa nikishuka tu nimtolee konda pesa yake mwishowe kibasi kikasimama. Konda kakomaa mlangoni abiria ndio tunashuka.

Ghafla Mdada (mrembo) akanifata akaniminyia jero "mpe hii konda". Daah sijaamni macho yangu.

Nilishindwa kukushukuru pale public nimeona nije nikushukuru huku. Asante sana.
20230522_152213.jpg
 
Nadhani upo humu,

Kama kweli basi pokea asante yangu. Ilikuwa hivi:

Naamka najiandaa kwenda job, Naingia kwenye gari kuweka switch on kitaa cha wese kina blink, sio kesi ni kawaida tu matarehe yakichachamaaga hivi kulitelekeza gari na kujiunga na public transport.

Mzee baba nikachomoka kwenye gari nikakimbilia kituo cha daldala chaap, (nilikua nishachelewa)
Nikazama nikapambania siti, hatimae nikapata safari ikiendelea ulekeo makumbusho,

Baada ya vituo kadhaa konda huyoo anapitia kudai chake, nikajisachi mifuko yote hakuna hata silva ukiachana na masimu tu. Hee nikakumbuka kumbe mzigo niliuacha pale kwenye gari nikaamka kama nilivyo. Nilifanikiwa kuokota simu tu! Daah itakuaje.

Konda alivyoona nazidi kujisachi bilamafanikio huyoo akaendelea siti nyingine. Baada ya muda konda huyo karudi tena. Daah Leo nishaumbuka!

Nikamwomba konda kwa upole kua pesa ipo kwenye simu nashuka mwisho wa gari nitakutolea kwa wakala nikishuka.

Dizaini konda akataka aanze kuzingua pale "tatizo muda" Daah mzee baba nikaona mzee mzima naumbuka leo. Basi nikatulia zangu tu siti ya upande wa pili kuna mdada kumbe alishachora michoro yote.

Ki buss hichoo kinaingia makumbusho huku naangazaaangaza sehemu ya mpesa nikishuka tu nimtolee konda pesa yake mwishowe kibasi kikasimama. Konda kakomaa mlangoni abiria ndio tunashuka.

Ghafla Mdada (mrembo) akanifata akaniminyia jero "mpe hii konda". Daah sijaamni macho yangu.

Nilishindwa kukushukuru pale public nimeona nije nikushukuru huku. Asante sana.
Usijali kaka, ahsante yako nimeipokea ila next time uwe makini, makondakta wamevurugwa. [emoji1783]
 
Hii inanikumbusha siku natoka mkoani pale shekilango nacheki kwa walet kavu ilibidi dada anipe 1000 mana na simu ilikuwa imezima. Dah mpaka naikuta ATM! Nilimshukuru sana yule dada
 
Back
Top Bottom