mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nachukua notes 😂Ulikuwa falla man, ulipaswa umwambie akusubiri.
Uchukue namba, mchana umkaribishe lunch au baadae umrushie ten.
Ni nadra kuionja pesa ya mwanamke so ukipewa kiroho safi jiongeze