Asante sana we mdada ulionilipia nauli

Asante sana we mdada ulionilipia nauli

umeamua usiseme mengi 😂
😂 Sikuchukua mda huo huo, alinikanyaga asubuhi akaomba samahan na pole nyingi nikamwambia asijali. Jioni wakati narudi akapandia shekilango nlikua jiran na mlango aliponiona akanipa pole tena na utani nisogee asijenikanyaga tena. Nkajiongeza nkabeba namba ila nilikandwa vidole vyote 😅
 
vyote hadi kile yaani😂
 
Jasiri ipi hiyo unayoizungumzia? Hela ina nafasi yake pia
We mtoto wakike ni rahisi kumlainisha sio mpaka uumpe mahela mengi, we ukimpa tu ya vocha imetosha yaani lazima aingie kwenye laini

Taratibu ataanza kujipa mwenyewe, kwanza uzuri wanawake wanajua ukiwa anadate na mtu hoihoi anamfahamu kitambo kwahyo anatafuta namna ya kuishi naye

Alafu pia mademu wetu hawa huwa kuna vitu wanapenda kwa mtu unaweza ukawa na hela ila asikupende ila unaweza ukawa kijikuku tu fulani ila akavutiwa na ww

Ki ukweli hawa mademu ni wanamaajabu
 
Back
Top Bottom