Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

Nauliza hayo mafuta ya Uganda yatasafishiwa Uganda au yanapekekwa nje kama Mali gahafi Kisha yarudishwe kuuzwa Uganda na Afrika Mashariki kama vile yamechimbwa Saudi Arabia?

Kama yatasafishiwa uganda basi Na sisi tutanufaika mana tutatega TU magari pale Bandari ya Tanga na kuuza kwenye vituo VA mafuta.
Mafuta yatashuka Bei kama Uarabuni .

Lakini nijuavyo mini hayo mafuta hayana maana yoyote zaidi ya kuchukua eneo kubwa la Ardhi kwenye mikoa nane ambayo tahamani ya hiyo ardhi Kwa ujumla wake Kwa Tanyanzania ni mkubwa kuliko huo mradi wenyewe. Mana Bomba la mafuta likishapita mahali ni milele hiyo ardhi haitatumika kwenye shughuli nyingine hata kama Kuna madini au rutuba.
 
Back
Top Bottom