Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
 
Kumekucha
Kila Lenye Mwanzo Lazima Liwe Na Mwisho
 
Swali waliotumwa kwa Lisu.. kazi hawakufanya.. je adhabu yao ni ipi.. mateso yote anayo pata Magu kwenye nafsi yake ni jina lissu linapo tajwa..
Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.

Note hii comment
 
Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.

Note hii comment
Naam ni wengi tu wameshasafishwa...
 
Back
Top Bottom