Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Hapa Bmkubwa anayeyusha tu ili kuondoa dhana ya kwamba anambeba...jamani msipige vidongo huyu dogo.
..bwana mkubwa akipata hizi habari anaweza kumrudisha dogo kwenye kiti cha enzi.
Huyu dogo kifua chake ni 'kipana' kimebeba mengi na nzito sana, hawezi kuachwa tuu!
*Watu hawajiulizi, huyu dogo aliyemvuruga Mzee Warioba na tume yake aliwezaje kuwa RC
Warioba, PM na AG mstaafu!
*Alimvuruga EL, JK, K'nana, Marope &Family na hakuna aliyejibu mapigo
*Watu hawajiulizi yale ya Clouds na watu walivyopoteza vyeo vyao
*Hawajiulizi kwanini aliitwa ''Deputy President'' akiogopwa katika ngazi zote isipokuwa moja tu!
* Huyu dogo ana mengi moyoni hawezi kuachwa! akiamua kutopiga mswaki! ni balaa.
Dogo atarudi madarakani soon! msidanganyike na michezo ya kuigiza!