Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Bulembo ana ulemavu au elimu kubwa?mbona alipewa?Zile nafasi nasikia zina watu wake maalumu wa kupewa kama wanawake au wazee au vilema au watu wenye elimu kubwa kubwa na sio huyo kijana wa kiume mwenye nguvu zake