Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Zile nafasi nasikia zina watu wake maalumu wa kupewa kama wanawake au wazee au vilema au watu wenye elimu kubwa kubwa na sio huyo kijana wa kiume mwenye nguvu zake
Bulembo ana ulemavu au elimu kubwa?mbona alipewa?
 
Ubalozi syo rahisi, kumbuka kuna mataifa yalishampiga biti kwenda kwao.
Akawe tu mkuu wa mkoa wa chato
Hili mlichukulie kwa tahadhari kubwa mno, hii ni sinema iliyotengenezwa na watawala baada ya kuusoma upepo amini nakwambia baba yake akishika dola utamuona katika teuzi na sijui kama atakosa Balozi nina bet????
 
Huyo jamaa ndivo alivo,hana uanaume thabiti.Uanaume ni kuhimikili mihemuko dhidi ya wenzio na kujenga hoja siyo inferiority.
Ametoa mawazo yake.You dont have to attack him/her with such kind of words.
 
Watanzania Vichwa vyenu vinafuga milenda badala ya akili.

Makonda amegeuzwa mbuzi wa kafala ili kuipa CCM faida kisiasa kwenye Uchaguzi.

Hivi hamjiulizi yote haya yametokea kipindi Cha chaguzi. Why ? Watanzania amkeni hivyo vichwa acheni kufugia nywele.

Kwenye siasa Hakuna kinachotokea Bahati mbaya. Huyu atapewa cheo baada ya uchaguzi.

Nawaomba mtunze hii comment yangu mje kuifufua baada ya uchaguzi.
 
Kuna mtu aliwahi kusema humu JF kuwa Jamaa hawa wawili ni kama meza na miguu yake. Akiwa na maana kuwa meza bila miguu haiwezi kusimama. Ni vigumu kuwatenganisha hawa Jamaa kwani lao ni moja.
 
Hahahahah ila kati ya watu wanaopata stress ni huyu Dogo,
 
Jamaa kataja ma-group kadhaa ya wanaoweza kuteuliwa na mojawapo ni group la wazee. Na nadhali Mh. Bulembo kwa umri wake siyo kijana ni mzee.
 
Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.

Note hii comment
Hata Mimi nafikiri hivyo pia. So!, tuweke akiba ya maneno kwanza.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani Watanzania hatujui ni kitu gani tunachokipigania, kazi yetu ni kushabikia matukio na kuombeana mabaya. Tumekosa ajenda, kila mtu anatamani nafasi ya Makonda ingekuwa yake.

Tunayo mengi sana yanayotusumbua, hivi sasa majina ya wagombea yanakatwa, watu wanapigwa mapanga, watu wanatekwa na Makonda alishaondoka. Lakini badi tuko bize na makonda.
 
Tunaonekana kama tunafurahia anguko lake lakini kiukweli jamaa alijisahau..haya maisha yana pita!
 
Back
Top Bottom