pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Say to these swine or even ewe! Lazima uwe smart Kichwani kabla ya kuanza analysis ya mambo ya kisiasa kama haya. JF siyo sehemu ya kuleta hoja mfu upate support ya kisiasa. Kama una chuki binafsi keep it for yourself! Kila chama kina watu waliofeli kufanikisha malengo yao.Swine.
Ni usalama wa Taifa [TISS] na anaingizwa huko baada ya kuonekana ana ushawishi fulani.
Mfano , Patrobas Katambi alikuwa CCM, akahamia CHADEMA na akawa kiongozi mkubwa BAVICHA, wana CCM ile timu yao ya nunua nunua wapinzani wakamnasa KATAMBI na akafika bei, alipokubali kujiunga pia aliwapa masharti kwamba wamteue, wakampeleka mafunzo na sasa ni " afisa kipenyo" anafanya tisiii
Duu watu mnajua kufukunyuaAlijiaminisha kabisa kuwa baada ya mkulu anayefuata kiwadhifa ni yeye.
View attachment 1552063
Say to these swine or even ewe! Lazima uwe smart Kichwani kabla ya kuanza analysis ya mambo ya kisiasa kama haya. JF siyo sehemu ya kuleta hoja mfu upate support ya kisiasa. Kama una chuki binafsi keep it for yourself! Kila chama kina watu waliofeli kufanikisha malengo yao.
Vyama vyote hivi tunavyoshabikia vina uozo mwingi tu! Wizi, ufuska, ushenzi wa kila aina. Iwe ni CHADEMA, CCM, TLP, DP, nk. ukiamua kukiita chama chako ni perfect, that is another fallacy!
Yet Idiot.
GoodKwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.
Note hii comment
Mwache apambane na hali yake! Sasa mkuu wakim-cancel itakuwaje sasa?He needs to be strong mentally, if possible afanyiwe cancelling, otherwise.
Magnum stultus simia
PSU roho ya magufuli. Nimeona kaunda zimemzuia kuingia ndani huyu bwana atakuwa na maisha magumu sana ingawa pesa anayo nyingi tu
Makonda si unavyomdhania. Hawezi kufulia kirahisi hivyo yule mtoto wa mjini yule.Pesa ina kawaida moja; kama inatoka tu bila kuingia hata ikiwa nyingi kiasi gani itakwisha!!
Hayo ndio malipo ya kumtumikia shetani,na m'baya always hawi na mwisho mzuri na kwa MUNGU mahesabu malipo yanaanziaga hapa kwa duniaKuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.
Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.
Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Makonda si unavyomdhania. Hawezi kufulia kirahisi hivyo yule mtoto wa mjini yule.