Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Say to these swine or even ewe! Lazima uwe smart Kichwani kabla ya kuanza analysis ya mambo ya kisiasa kama haya. JF siyo sehemu ya kuleta hoja mfu upate support ya kisiasa. Kama una chuki binafsi keep it for yourself! Kila chama kina watu waliofeli kufanikisha malengo yao.

Vyama vyote hivi tunavyoshabikia vina uozo mwingi tu! Wizi, ufuska, ushenzi wa kila aina. Iwe ni CHADEMA, CCM, TLP, DP, nk. ukiamua kukiita chama chako ni perfect, that is another fallacy!
 
Nimeelewa , acha na mimi nijaribu kuongeza ushawishi hapa chuoni uenda nikapewa kitengo
Ni usalama wa Taifa [TISS] na anaingizwa huko baada ya kuonekana ana ushawishi fulani.
Mfano , Patrobas Katambi alikuwa CCM, akahamia CHADEMA na akawa kiongozi mkubwa BAVICHA, wana CCM ile timu yao ya nunua nunua wapinzani wakamnasa KATAMBI na akafika bei, alipokubali kujiunga pia aliwapa masharti kwamba wamteue, wakampeleka mafunzo na sasa ni " afisa kipenyo" anafanya tisiii
 
Nyie jifurahisheni tu.
Kijana bado yuko madarakani.
Ni kwamba kaupisha tu upepo wa uchaguzi.

"wakubwa bado wanamtambua"

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Say to these swine or even ewe! Lazima uwe smart Kichwani kabla ya kuanza analysis ya mambo ya kisiasa kama haya. JF siyo sehemu ya kuleta hoja mfu upate support ya kisiasa. Kama una chuki binafsi keep it for yourself! Kila chama kina watu waliofeli kufanikisha malengo yao.

Vyama vyote hivi tunavyoshabikia vina uozo mwingi tu! Wizi, ufuska, ushenzi wa kila aina. Iwe ni CHADEMA, CCM, TLP, DP, nk. ukiamua kukiita chama chako ni perfect, that is another fallacy!

Yet Idiot.
 
Nina mashaka na wewe mtoa mada huenda ukawa huyo mtoto mpendwa
Kama sio jua yanayoenderea Ni danganya toto
 
Magu hawezi kumuacha bashite, labda amtangulize mbele ya haki.
Amemtumilia sana kuuwa watu, kuteka watu nyara, kubandika watu kesi, magu ,etc. its just a matter of time Utamuona bashiete hand in hand na Magu.
 
PSU roho ya magufuli. Nimeona kaunda zimemzuia kuingia ndani huyu bwana atakuwa na maisha magumu sana ingawa pesa anayo nyingi tu

Pesa ina kawaida moja; kama inatoka tu bila kuingia hata ikiwa nyingi kiasi gani itakwisha!!
 
Pesa ina kawaida moja; kama inatoka tu bila kuingia hata ikiwa nyingi kiasi gani itakwisha!!
Makonda si unavyomdhania. Hawezi kufulia kirahisi hivyo yule mtoto wa mjini yule.
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Hayo ndio malipo ya kumtumikia shetani,na m'baya always hawi na mwisho mzuri na kwa MUNGU mahesabu malipo yanaanziaga hapa kwa dunia
 
Makonda si unavyomdhania. Hawezi kufulia kirahisi hivyo yule mtoto wa mjini yule.

Siku hizi ukiwa hapa 'Down Town' Jijini Dar es Salaam 'ukimsifia' Mwanaume fulani kuwa sijui ni Mtoto wa Mjini Watu wanajua ni 'Shoga' Mkubwa.
 
Back
Top Bottom