NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
- Thread starter
- #21
gharama nilizotumia ku master huu mchakato ni kubwa sana hii hata uwe na milliono 100 kama huna utaalamu hufanyi na sio kama hazipo za kufanana na hii zipo ila hazitekelezeki kwakuwa kuna kitukinakosekana na hicho kinachokosekana mimi nimegharamia kupata nimeisngia hasara nyingi mpaka nilipo fanikisha na kukuta mtaji wa kuendeleza hili wazo umeishia kujifunza fursa hiiSasa mkuu mbona huo ni mtaji mdogo lakini bado unakupiga chenga? Huoni hapo umewaita wakurungwa na umemwaga Michele hadharani badala kushirikiana nao watafanya U-turn ubaki na wazo lako watakao faidika ni wengine