Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

Sasa mkuu mbona huo ni mtaji mdogo lakini bado unakupiga chenga? Huoni hapo umewaita wakurungwa na umemwaga Michele hadharani badala kushirikiana nao watafanya U-turn ubaki na wazo lako watakao faidika ni wengine
gharama nilizotumia ku master huu mchakato ni kubwa sana hii hata uwe na milliono 100 kama huna utaalamu hufanyi na sio kama hazipo za kufanana na hii zipo ila hazitekelezeki kwakuwa kuna kitukinakosekana na hicho kinachokosekana mimi nimegharamia kupata nimeisngia hasara nyingi mpaka nilipo fanikisha na kukuta mtaji wa kuendeleza hili wazo umeishia kujifunza fursa hii
 
Ni kweli mkuu kuwa makini tu sio Kila alieanzisha wazo alifaidika nalo. Anaekuja nyuma Yako mara nyingi ndio anafaidika, imenitokea Mimi, nilianzisha biashara ya usambazaji wa bidhaa nilikuwa naitoa Kongo, nilikuwa nakunja karibia mli 2 kwa mwezi, matajiri walivyonusa harufu ya nyendo zangu waliivagaa soko kwa kushusha mizigo kwa bei fororo faida ikapotea na Mali ikapoteza thamani hatimae ikafa
ni kawaida mkuu kwenye rizki lazima chochote kitokee hatuogopi ila tutajifunza na kuendand nao tu mana hakuna cha peke ako
 
Hiyo Wi fi inauwezo wakunasa umbali gani kwa mtumiaji kutoka mitambo ilipo?
 
Hongera mkuu..Hii huduma sehemu ninakofanyia harakati zangu ipo
 
ukiitiwa fursa ujue wewe ndo unaenda kugeuza fursa bin hasusa
hii ndio mindset inayopelekea watu wengi kuwa nyuma ya fursa na mafanikio huwezi kujua fursa ilipo bila kujuzwa ukishajuzwa unanafasi ya kuangalia inanifaa au haifai kunawatu wana mitaji hawajui pakuwekeza kuna wana wazo na idea za biashara zimekosa mitaji
 
Back
Top Bottom