Asasi za Kiraia kuishtaki Tanzania kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya haki za binadamu Afrika

Asasi za Kiraia kuishtaki Tanzania kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya haki za binadamu Afrika

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu,Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika,Onesmo Olengurumwa,

Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamesema wanatafakari kuIshtaki Serikali ya Tanzania katika kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika.

Katika barua iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi ya Novemba 21, 2019, inaeleza nia ya Tanzania kujiondoa kwenye mahakama hiyo ili kutafakari suala hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019 jijini Dar es Salaam mratibu wa THRDC, Onesmo Olengurumwa amesema hatua ya kwanza ni kujadiliana na Serikali wakati wakiendelea kuangalia uwekezako wa kupinga hatua hiyo kwenye mahakama hiyo.

“Tutajaribu kupinga kwa sababu kwa sasa sheria na kanuni ziko kimya hazionyeshi utaratibu wa nchi inayojitoa watu wanaweza kwenda kwenye mahakama hiyohiyo kufungua kesi.”

“Ikishindikana hiyo tutakwenda kupitia kamisheni kule Banjul (Gambia) kwa sababu Tume ya Haki za Binadamu ya Afrika ndiyo mama wa hii mahakama,” amesema Olengurumwa.

Amesema mahakama hiyo iliundwa baada ya kuonekana tume ya haki za binadamu ya Afrika haikuwa na nafasi ya kusikiliza kesi.

Mkurugenzi wa LHRC, Anna Henga amesema kusudio la Serikali kujitoa katika mahakama hiyo litasababisha gharama kubwa kwa wananchi kupeleka kesi zao Tume ya Haki za Binadamu ya Afrika nchini Gambia.

“Mtu atafute visa, atafute gharama za ndege, mwanasheria wa kwenda kule lakini hapa Arusha unaweza kwenda hata kwa Bajaji. Kwa hiyo ile access to justice (uwezekano wa kupata haki) unakuwa mgumu mno,” amesema Henga.
 
kwani unaweza kuilazimisha nchi kufuata matakwa yako wewe wakala mbobezi. Nchi inaweza kujitoa kwenye mahusiano yoyote ikigundua hakuna Maslahi kwa Wananchi wake.

Mfano unaweza ukamlazimisha Dada ako aolewee na kichaa wa kumpiga ngumi kila siku ili tu aitwe ameolewa
 
Magufuli anafanya mengi mazuri mzee Mkuchika na wenye hekima mnakwama wapi kumshauri utawala bora, ustawi wa watu na umoja wa taifa letu?
 
Kuna nchi zaidi ya 40 Afrika zimejitoa katika hiyo mahakama sio Tanzania pekee!
 
kwani unaweza kuilazimisha nchi kufuata matakwa yako wewe wakala mbobezi. Nchi inaweza kujitoa kwenye mahusiano yoyote ikigundua hakuna Maslahi kwa Wananchi wake.

Mfano unaweza ukamlazimisha Dada ako aolewee na kichaa wa kumpiga ngumi kila siku ili tu aitwe ameolewa
Irrelevacies
 
"Kondoo wa Nyerere" wanaendeshwa na jamaa kutoka kule SHENZISTAN. Wanadai maendeleo kwanza good governance baadae. Huwezi ukaamini kuwa Professor wa sheria na Nguli wa diplomasia wanaweza wakawafanyia watanzia mambo kama haya. Mmoja kesha saini waraka wa kujitoa mwingine anasema bado hatuja jitoa.
 
Ikiwa Tanganyika inajitowa huko basi na Zanzibar wajitowe mahakama za Tanganyika pia!
Hapo watakinukisha mpaka wazenj waseme po. Hawa jamaa kwa kweli wanajua wao tu wanapo tupeleka. Tukumbuke 2020 ndiyo inasonga na lazima wapate ushindi kwa njia yeyote hata ikibidi goli la mkono (kama la Jecha). 2015 ilikuwa trela chini ya JK, 2020 ndiyo picha kamili chini ya mbabe wetu. Hakuna cha msalie mtume-si Zanzibar wala Tanganyika wanaume lazima waendelee kushika dola.
 
Lisu ndiyo aliwashtua kua mnaangukia pua kwaajili ya mikataba ya kimataifa.
 
Kuna nchi zaidi ya 40 Afrika zimejitoa katika hiyo mahakama sio Tanzania pekee!
Acha uongo Afrika ina nchi 54 kwa hiyo unataka kuwadanganya watanzania kuwa zimebaki nchi 14 tu? Watanzania sio wajinga kuwa unaweza kuwadanganya.
 
Mkinipa mifano ya case ambazo mahakama hiyo imewasaidia Watanzania dhidi ya serikali basi niwaunga mkono kwenye hiyo move ya kupinga serikali kujitoa, ila kama hakuna basi serikali iandike barua nyingine ya kusisitiza nia yake ya kutaka kujitoa.
 
kwani unaweza kuilazimisha nchi kufuata matakwa yako wewe wakala mbobezi. Nchi inaweza kujitoa kwenye mahusiano yoyote ikigundua hakuna Maslahi kwa Wananchi wake.

Mfano unaweza ukamlazimisha Dada ako aolewee na kichaa wa kumpiga ngumi kila siku ili tu aitwe ameolewa
Hii zumbukuku nchi ni nani? Unapelekwa utumwani unatoa meno nje kama ngiri. Sasa Magu,makondakta, na wote wataanza kubaka mamako kwa zamu halafu watarudia mkeo na dada zako kwa sababu wana kalia dola na mwingine ana kinga uchwara ndio utakuna hayo makalio. Itapitishwa sheria ya wewe kwenda kuliwa mdondo na mkuu kila alhamisi ndio utajua
 
Back
Top Bottom