Jana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.Kwa forward hii ya kina beleke 🤣🤣
Ni muda wa kucheza kwa step tu sasa hiviWydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3
Points tulizo nazo 2.
Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu
Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ikicheza karata zake vizuri inaweza kufuzuNi muda wa kucheza kwa step tu sasa hivi
Naunga mkono hoja 👍👏👏Jana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
Amina 🤣
Mmmh apo waydad na yeye anakupigia hesabu akukandeWydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3
Points tulizo nazo 2.
Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu
Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
ulimshauri kocha au wadau wa jf?Jana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
Nilichoona Miquison ameisha kabisa,Onana naye hamna kitu,usajili wa Simba una mihemko kuliko kutuliza akiliJana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
ulimshauri kocha au wadau wa jf?
luis hana hadhi hata ya kukaa benchi mtibwa.
Cha kushangaza wachezaji viwango vyao vinashuka mbele ya macho yetu wakiwa ndani ya Simba. Onana yule aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu tena. Kuna uzi nilisema kuna mechi ya kwanza au ya pili ya msimu, kuna jambo niliona alilifanya nikajua huyu hatunaye tena.Nilichoona Miquison ameisha kabisa,Onana naye hamna kitu,usajili wa Simba una mihemko kuliko kutuliza akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama nyie ni makocha wazuri ni kwanini Simba ihangaike kutafuta nje. Huyu akitimuliwa nenda kawaambie wakuachie timu ili uwe unapanga hivyoJana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
Wydad nao mahesabu yao ni kuifunga Simba home and away. Halafu asec nao wanaisubiri Simba kwa hamuWydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3
Points tulizo nazo 2.
Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu
Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabwabwaja tu hapa wala usinichukulie seriousSasa kama nyie ni makocha wazuri ni kwanini Simba ihangaike kutafuta nje. Huyu akitimuliwa nenda kawaambie wakuachie timu ili uwe unapanga hivyo
ZBC2Wanaonesha Chanel gani?
Lolote laweza kutokea mkuu mpira unadundaNa wy
Wydad nao mahesabu yao ni kuifunga Simba home and away. Halafu asec nao wanaisubiri Simba kwa hamu
Yeah mkuuu lolote linaweza kutokea,inshort kwenye hilo kundi yeyote anaweza kufuzuMmmh apo waydad na yeye anakupigia hesabu akukande
Onana hakabi,halafu anapenda ku-dribble na hawezi mpira unanyang'anywa, akipewa mpira unaweza ana space kubwa ya kutoa pasi nzuri na watu wapo kwenye nafasi yeye anaanza kuchenga na mpira unapotea mnaanza kutafuta,hicho miquison alikuwa anaweza zamani,sasa hivi naye hivo hivo hata kukimbia tu hawezi, huyu kocha kama viongozi watamsikiliza sidhani kama wataendelea simba hata msimu mdogo,hizo nafasi watu wakipatikana wasipoachwa watasahaulika benchi.Cha kushangaza wachezaji viwango vyao vinashuka mbele ya macho yetu wakiwa ndani ya Simba. Onana yule aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu tena. Kuna uzi nilisema kuna mechi ya kwanza au ya pili ya msimu, kuna jambo niliona alilifanya nikajua huyu hatunaye tena.
Luis alionyesha flash za ubora mechi kadhaa za mwanzo ingawa bado hakuwa na ubora wa zamani ila sasa hivi ameshuka zaidi.
Che Malone aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu wa sasa.
Phiri anayeimbwa na wengi naye hivyo hivyo hadi kuna watu wanadiriki kusema hafai kuwepo Simba.
Tujiulize inakuwaje viwango vya wachezaji wa Simba vimekuwa vinaporomoka ghafla?
[emoji23][emoji23]kilimo cha matikiti hikiWydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3
Points tulizo nazo 2.
Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu
Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahaaaaili ikawe vita kamili sasa [emoji1]