Kwenye hiyo miaka 10 mmechukua ubingwa mara ngapi?Maadui wa arsenal wameanza kutoa kauli hizi miaka 10 iliopita, lakini wanaishia kuporomoka wao na kuiacha arsenal pale pale. Kwa taarifa yako arsenal ndio klabu pekee ya EPL ambayo haijawahi kushindwa kuqualify UCL katika seasons 20 zilizopita. Toeni utabiri wenu, ukweli mtaupata May next year Mungu akituweka hai.
Kwahyo kucheza uefa ndio mafanikio mnaojivunia????manyumbu man u,liver,chelsea kila mwaka mnasema hivo na bado aresenal inacheza uefa kila sku
timu zinazocheza uefa huwa ndo timu bora kma hujui hilo nakuondoa mawazo mgandoKwahyo kucheza uefa ndio mafanikio mnaojivunia????
Umeelewa ulicho ulizwa? Au na wewe ni keilaza kama v.laza wengine?timu zinazocheza uefa huwa ndo timu bora kma hujui hilo nakuondoa mawazo mgando
keilaza,v.laza: akili yako iko sawa na mwandiko wako nakupuuza kama nilivopuuza mwandiko wakoUmeelewa ulicho ulizwa? Au na wewe ni keilaza kama v.laza wengine?
We pimbi uliulizwa mafanikio we ukaleta habari za ubora, hizi akili za kushikiwa na wenger hizi [emoji23] [emoji23]keilaza,v.laza: akili yako iko sawa na mwandiko wako nakupuuza kama nilivopuuza mwandiko wako
mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.We pimbi uliulizwa mafanikio we ukaleta habari za ubora, hizi akili za kushikiwa na wenger hizi [emoji23] [emoji23]
Wenger alikuwa anasubir kuchukua ubingwa katikati ya makocha wakibwa dunian, sasa ndio wakat wake kuwaonyesha mpira na kuwa kocha bora kati yao
Arsenal ndio club yenye mafanikio kuliko club yoyote uingereza??? Hapo tu nimeshajua naongea na mtu wa aina gani. Hebu kojoa kalalemafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
huna hoja umeanza kupenda mpira jana utaongea nini mi nakojoa nilale ila we bana mkojo tuone kama utalalaArsenal ndio club yenye mafanikio kuliko club yoyote uingereza??? Hapo tu nimeshajua naongea na mtu wa aina gani. Hebu kojoa kalale
sema ukweli umeanza kuangalia EPL mwaka gani?Arsenal imechukua hilo kombe mara 13...man u na liver tu waliompita.usifananishe na timu uchwaraKama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
Hahahahaha, unasababisha nizime kilaptop changu nikiwa na kicheko. Duh! Man United?Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Mafuta mgandooooo!!!!![emoji91] [emoji91]mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
Baelezee....Hayo maneno yamesemwa tangu mourinho hajaota mvi,lakin mpaka leo rashford anacheza man u wanaodondoka nje ya 4 bora ni manchester,chelsea na liver
Baelezee....Hayo maneno yamesemwa tangu mourinho hajaota mvi,lakin mpaka leo rashford anacheza man u wanaodondoka nje ya 4 bora ni manchester,chelsea na liver
[emoji23] [emoji23] hiyo kali, MAN UNITEDMchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Umenena ukweliNakubaliana na mawazo ya mwandisha Asernal wataishia nafasi ya saba lakini ARSENAL chini ya Wenger ni vigumu kuwaona chini nafasi ya nafasi ya 4. Arsenal wana nafasi kubwa ya kumaliza mabingwa kuliko hao asernal uliowataja.