Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Maadui wa arsenal wameanza kutoa kauli hizi miaka 10 iliopita, lakini wanaishia kuporomoka wao na kuiacha arsenal pale pale. Kwa taarifa yako arsenal ndio klabu pekee ya EPL ambayo haijawahi kushindwa kuqualify UCL katika seasons 20 zilizopita. Toeni utabiri wenu, ukweli mtaupata May next year Mungu akituweka hai.
Kwenye hiyo miaka 10 mmechukua ubingwa mara ngapi?

Ukilinganisha mafanikio ya man city, chelsea, man u na yenu kwa miaka 10 iliyopita utakua unachekesha
 
Umeelewa ulicho ulizwa? Au na wewe ni keilaza kama v.laza wengine?
keilaza,v.laza: akili yako iko sawa na mwandiko wako nakupuuza kama nilivopuuza mwandiko wako
 
We pimbi uliulizwa mafanikio we ukaleta habari za ubora, hizi akili za kushikiwa na wenger hizi [emoji23] [emoji23]
 
mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
 
Nakubaliana na mawazo ya mwandisha Asernal wataishia nafasi ya saba lakini ARSENAL chini ya Wenger ni vigumu kuwaona chini nafasi ya nafasi ya 4. Arsenal wana nafasi kubwa ya kumaliza mabingwa kuliko hao asernal uliowataja.
 
Wenger alikuwa anasubir kuchukua ubingwa katikati ya makocha wakibwa dunian, sasa ndio wakat wake kuwaonyesha mpira na kuwa kocha bora kati yao
 
f20b19cf69c9a0ac4b51fa391951a14a.jpg

Kweli kabisa ndio maana kamsajili Takuma mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
Arsenal ndio club yenye mafanikio kuliko club yoyote uingereza??? Hapo tu nimeshajua naongea na mtu wa aina gani. Hebu kojoa kalale
 
huna hoja umeanza kupenda mpira jana utaongea nini mi nakojoa nilale ila we bana mkojo tuone kama utalala
 
Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
sema ukweli umeanza kuangalia EPL mwaka gani?Arsenal imechukua hilo kombe mara 13...man u na liver tu waliompita.usifananishe na timu uchwara
 
Usajili na Pre season games zinaleta vichaa wengi wa soka ila ligi ikianza wanaanza kuwakataa makocha na wachezaji wao siwezi kuwasahau Van Gaal na Depay walivyojambisha umu duh ngoja nikaushe.
 
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Hahahahaha, unasababisha nizime kilaptop changu nikiwa na kicheko. Duh! Man United?
 
mafanikio yapi unayosema maana kama ni mafanikio arsenal ndo timu yenye mafanikio kuliko timu zote uingerza,toka kuanzishwa kwake haijawahi kushuka daraja,haijawah kukosa uefa kombe linaloiingizia kipato kikubwa,haijawah kununua mchezaji yeyote ikamuuza kwa bei ya hasara,imejenga uwanja wa kisasa uingereza kuliko club yoyote.
Mafuta mgandooooo!!!!![emoji91] [emoji91]
 
Arsenal ndio timu yenye mafanikio kuliko timu zote England, tehe tehee teheee
 
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
[emoji23] [emoji23] hiyo kali, MAN UNITED
 
Nakubaliana na mawazo ya mwandisha Asernal wataishia nafasi ya saba lakini ARSENAL chini ya Wenger ni vigumu kuwaona chini nafasi ya nafasi ya 4. Arsenal wana nafasi kubwa ya kumaliza mabingwa kuliko hao asernal uliowataja.
Umenena ukweli
 
Back
Top Bottom