ipatama
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 348
- 228
Kwenye hiyo miaka 10 mmechukua ubingwa mara ngapi?Maadui wa arsenal wameanza kutoa kauli hizi miaka 10 iliopita, lakini wanaishia kuporomoka wao na kuiacha arsenal pale pale. Kwa taarifa yako arsenal ndio klabu pekee ya EPL ambayo haijawahi kushindwa kuqualify UCL katika seasons 20 zilizopita. Toeni utabiri wenu, ukweli mtaupata May next year Mungu akituweka hai.
Ukilinganisha mafanikio ya man city, chelsea, man u na yenu kwa miaka 10 iliyopita utakua unachekesha