Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Poa mkuu endelea kupewa sapoti ya kuona mechi na camera man sisi huku tunaona live kutokea kilimani 😀Nimeuliza tu Mimi nipo naangalizia runingani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu endelea kupewa sapoti ya kuona mechi na camera man sisi huku tunaona live kutokea kilimani 😀Nimeuliza tu Mimi nipo naangalizia runingani.
Nishakwambia kaa kwa kutulia kolo [emoji23][emoji23]cha msingi uto usizime simu
Makolo mlibwanji?cha msingi uto usizime simu
Kolo wangeshinda nchi nzima ingelipuka wana makelele sana.. Feisal kafunga midomo kumbavu zaoKimyaaaaaaa
Daaaaah, mwaka sio wetu huu, [emoji25][emoji25][emoji25]We ni shabiki wa team gani?
Hawa utoporo tumewahurumia tu maana tungewapiga goli kibao na amani ingetoweka huko jangwani, relax tumefanya uungwana 😀Daaaaah, mwaka sio wetu huu, [emoji25][emoji25][emoji25]