Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Twa
Twanga pepeta imekufa hana pakuongelea maskini.
 
Huyu ndie mshauri wa simba anamshauri CEO, Mangungu etc[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa naamini thats why whatsapp channel kwao ni mafanikio
Na kuanza kwa kishindo kwenye kombe la ligi ya mabingwa wa Afrika[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Bado cjaona kosa lake kwa alichokiongea. Labla kama Chadema mnataka kulipiza kisasi kwa kuwabania nafasi.
Nikuulize wewe, unaweza kwenda kuuza nguo zenye nembo ya Chadema kwenye ofisi za ccm.?
 
Ni kweli lakini umeona kweli serikali ikisimamia uvunjwaji wa sheria? Viongozi wa CCM wamekuwa mstari wa mbele kuvunja sheria vivyo hivyo wa wanachama wao.
Sidhani kama viongozi wa sehemu husika watalifumbia macho hili maana lina matokeo mabaya sana
 
Bado cjaona kosa lake kwa alichokiongea. Labla kama Chadema mnataka kulipiza kisasi kwa kuwabania nafasi.
Nikuulize wewe, unaweza kwenda kuuza nguo zenye nembo ya Chadema kwenye ofisi za ccm.?
Mzee huo siyo utamaduni wa watanzania najua na wewe unalielewa hilo.

Utamaduni wetu ni kuishi wote kama ndugu
 
Umebadili gia angani? Umekimba maandamano unaweweseka na maccm.
 
Mzee huo siyo utamaduni wa watanzania najua na wewe unalielewa hilo.

Utamaduni wetu ni kuishi wote kama ndugu
Naelewa mkuu, lkn mm nazungumzia pale mali ya mtu kuja kutumiwa na mtu ambaye sio sahihi kutumia
 
Yuko sahihi, umeona wapi frame za kanisa katoliki kuna duka la kisunni au quran?

Eneo ni lao acha wawape wanaowataka, huo wala sio ubaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…