Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

🤔🙄
 
Huyu sasa naona kachanganyikiwa.. Kwahiyo hata kwenye biashara zake wasio wa ccm wasiende?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh naona bado sieleweki, sawa mkuu nmekuelewa.
Kwa hili huwezi kueleweka huwezi kumtetea muovu kama huyu.

Kwa alichokifanya Baraka ni sawa na kuliingiza taifa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Tanzania tuna ishi maisha ya kushirikiana bila kujali dini au itikadi ya mtu.

Anapo taka kutupeleka Baraka ni kuacha kuzikana kisa huyo ni ccm au huyo ni CDM.
 
Nadhani wewe ndio umemuelewa mleta mada kuliko hao wengine walio dandia treni kwa mbele.
Hivi kweli unaweza kumkuta Kaduguda au Raphael Chegeni anafanya ujinga wa aina hiyo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyu atakuwa na vielement vya Burundi pale Kigoma alipitia tu maana kwao ndiyo wanaishi kwa kubaguana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…