Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Ndo kwanza siwazi, mimi ni mtoto haramu lakini ni meneja kiwanda X cha cement. Pia nina hisa kwenye kampuni X ya vigae. Pia nina mtoto haramu aliyeko Addis Ababa Jeshini. Watoto halali wote wa father ni fundi Ujenzi kisesa
Mbinguni hakuna meneja
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Kwa hiyo unatuhakikishia kuwa na Ishmail, Peresi (babu wa Daudi), Sulemani na Yesu wote ni watoto wa haramu siyo? Unapaswa kutapika matango pori uliyolishwa.
 
Back
Top Bottom