Mnaweza kuzaa labda,Mkiambiwa wanawake tunaweza muwe mnaelewa..!! 😹
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa……..?
Na bado tunaingia kwenye mashimo yao kuchimba utelezi.Mnaweza kuzaa labda,
Wewe unaweza kuingia ndani ya shimo kuchimba dhahabu futi ishirini kwenda chini?
Mnaaeza wapi bwana ebu sukuma mkokoteni kifua wazi🤣🤣🤣🤣🤣Mkiambiwa wanawake tunaweza muwe mnaelewa..!! 😹
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa……..?
Mwambie asukumie mkokoteni kifua waziMnaweza kuzaa labda,
Wewe unaweza kuingia ndani ya shimo kuchimba dhahabu futi ishirini kwenda chini?
Wanawake huwa wanaongea kwa hisia bila kuchanganua mamboMwambie asukumie mkokoteni kifua wazi
Noma sana😅😅Na bado tunaingia kwenye mashimo yao kuchimba utelezi.
... typingWanawake huwa wanaongea kwa hisia bila kuchanganua mambo
Kwani hao wengine wanaubora gani kumzidi huyo Mama Asha rose.Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka.
Kwa mimi ninayeamini katika msimamo wa kimapinduzi na wa kijamaa sijaona ubora wowote wa Asharose hadi kila mara tunaona jina lake tukiletewa kwa uongozi nchini. Mimi naona ni mambo ya kishikaji tu.
Alipokuwa waziri wa nje zaidi ya umahiri wake kwenye kingereza sijaona kimsimamo cha maana kwake. Awamu ya kikwete ilipomalizika akawa umoja wa mataifa akiwa naibu katibu mkuu kazi ambayo mwisho alitimuliwa kwa kukosa weledi. Ndio ukweli japo tunafichwa nchini.
Enzi ya JK ikimalizika tukaona akiwekwa kugombea urais huku msimamo wake kisiasa haueleweki kuhusu siasa za kutetea umma wa wananchi. Kuingia tu mama jina lake likaibuka tena balozi uingereza.
Sasa tena huku umri umeenda tunaona eti kapewa katibu mkuu wa ccm. Utafikiri nchi hii hakuna wenye uwezo wengine na umri mdogo.
Katika huu utawala wa mama tumeona watu wa mlengo wa kimagufuli wakitengwa na kupigwa teke.
Mlengo ambao ndio sahihi kwa maendeleo ya nchi hii. Tumeona kundi la mtandao la wale tunawaita wahuni unaodhaminiwa na mfanyabiashara Rostam Azziz ukirejea, mtu ambaye kashfa karibu zote kubwa za uhujumu uchumi nchini zimemuhusu.
Mama mwanzo alisafiri na huyo mtu hatari kwa uhuru wetu eti ni mwekezaji mkubwa. Huyo mtu taarifa tunazoona huko nje ni jasusi wa wamarekani. Nchi haiwezi kuendelea kwa kukubali wanamtandao wa Rostam Azziz kuongoza nchi.
Watanzania tuwe wamoja kurejesha nchi mkononi mwa wazalendo ili tupange maendeleo kwa namna ya kufaidika na uchumi wa nchi yetu.
Shimo gani tena wakati sisi ndo wamiliki wa shimo 😹😹Mnaweza kuzaa labda,
Wewe unaweza kuingia ndani ya shimo kuchimba dhahabu futi ishirini kwenda chini?
Wote hamjaelewa comment yangu 😹😹Mnaaeza wapi bwana ebu sukuma mkokoteni kifua wazi🤣🤣🤣🤣🤣
Wee njoo hapa nikupe mkokoteni usukume kifua wazi watu tuone titiWote hamjaelewa comment yangu 😹😹
Mh I beg to differ. Huwezi kufika UN kwa kubebwa. Huyu mama yupo vzr Upstairs Tena kuliko SSH na ku prove hili utaona kwenye huo ukatibu hatoboi six months watashindwana.Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka.
Kwa mimi ninayeamini katika msimamo wa kimapinduzi na wa kijamaa sijaona ubora wowote wa Asharose hadi kila mara tunaona jina lake tukiletewa kwa uongozi nchini. Mimi naona ni mambo ya kishikaji tu.
Alipokuwa waziri wa nje zaidi ya umahiri wake kwenye kingereza sijaona kimsimamo cha maana kwake. Awamu ya kikwete ilipomalizika akawa umoja wa mataifa akiwa naibu katibu mkuu kazi ambayo mwisho alitimuliwa kwa kukosa weledi. Ndio ukweli japo tunafichwa nchini.
Enzi ya JK ikimalizika tukaona akiwekwa kugombea urais huku msimamo wake kisiasa haueleweki kuhusu siasa za kutetea umma wa wananchi. Kuingia tu mama jina lake likaibuka tena balozi uingereza.
Sasa tena huku umri umeenda tunaona eti kapewa katibu mkuu wa ccm. Utafikiri nchi hii hakuna wenye uwezo wengine na umri mdogo.
Katika huu utawala wa mama tumeona watu wa mlengo wa kimagufuli wakitengwa na kupigwa teke.
Mlengo ambao ndio sahihi kwa maendeleo ya nchi hii. Tumeona kundi la mtandao la wale tunawaita wahuni unaodhaminiwa na mfanyabiashara Rostam Azziz ukirejea, mtu ambaye kashfa karibu zote kubwa za uhujumu uchumi nchini zimemuhusu.
Mama mwanzo alisafiri na huyo mtu hatari kwa uhuru wetu eti ni mwekezaji mkubwa. Huyo mtu taarifa tunazoona huko nje ni jasusi wa wamarekani. Nchi haiwezi kuendelea kwa kukubali wanamtandao wa Rostam Azziz kuongoza nchi.
Watanzania tuwe wamoja kurejesha nchi mkononi mwa wazalendo ili tupange maendeleo kwa namna ya kufaidika na uchumi wa nchi yetu.
Sisi tunasukuma wowowo 😹Wee njoo hapa nikupe mkokoteni usukume kifua wazi watu tuone titi
Mama anakuja kumsafisha Samia mbele ya macho ya kimataifa. Mara tu utaona maafikiano,na TL atatolewa lakini lengo la kumweka pembeni ya uchaguzi litakuwa limesha timia.Mh I beg to differ. Huwezi kufika UN kwa kubebwa. Huyu mama yupo vzr Upstairs Tena kuliko SSH na ku prove hili utaona kwenye huo ukatibu hatoboi six months watashindwana.