🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbe una wowowoSisi tunasukuma wowowo 😹
🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbe una wowowoSisi tunasukuma wowowo 😹
Hakuna kitu kinakera kama kuona mtu anayejiita mwanaume anakuwa na wivu wa kike hadi kwa wanawake! Inakera sana!Mnaweza kuzaa labda,
Wewe unaweza kuingia ndani ya shimo kuchimba dhahabu futi ishirini kwenda chini?
Wakulaumiwa ni wazazi wako maana walizaa mtoto ambaye hawezi kufikiri ambaye ni weweHakuna kitu kinakera kama kuona mtu anayejiita mwanaume anakuwa na wivu wa kike hadi kwa wanawake! Inakera sana!
🤣Shimo gani tena wakati sisi ndo wamiliki wa shimo 😹😹
Wivulabda umesema kitu. SSH upstairs hakuna kitu.😂
hamna wema nyinyi kila anaeteuliwa ana kasoro. Basi tusubiri malaika wa kiume aje kupewa hizo posts.Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka.
Kwa mimi ninayeamini katika msimamo wa kimapinduzi na wa kijamaa sijaona ubora wowote wa Asharose hadi kila mara tunaona jina lake tukiletewa kwa uongozi nchini. Mimi naona ni mambo ya kishikaji tu.
Alipokuwa waziri wa nje zaidi ya umahiri wake kwenye kingereza sijaona kimsimamo cha maana kwake. Awamu ya kikwete ilipomalizika akawa umoja wa mataifa akiwa naibu katibu mkuu kazi ambayo mwisho alitimuliwa kwa kukosa weledi. Ndio ukweli japo tunafichwa nchini.
Enzi ya JK ikimalizika tukaona akiwekwa kugombea urais huku msimamo wake kisiasa haueleweki kuhusu siasa za kutetea umma wa wananchi. Kuingia tu mama jina lake likaibuka tena balozi uingereza.
Kweli mnaweatherMkiambiwa wanawake tunaweza muwe mnaelewa..!! 😹
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa……..?
Hapana jamani huyu bibi anatakiwa kupumzika, apewe kazi nyepesi sio hiyo yenye helaheka. Bibi kazeeka anatembea kama ajuza. Ni huzuniMkiambiwa wanawake tunaweza muwe mnaelewa..!! 😹
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa……..?