Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

Mnaweza kuzaa labda,
Wewe unaweza kuingia ndani ya shimo kuchimba dhahabu futi ishirini kwenda chini?
Hakuna kitu kinakera kama kuona mtu anayejiita mwanaume anakuwa na wivu wa kike hadi kwa wanawake! Inakera sana!
 
Hakuna kitu kinakera kama kuona mtu anayejiita mwanaume anakuwa na wivu wa kike hadi kwa wanawake! Inakera sana!
Wakulaumiwa ni wazazi wako maana walizaa mtoto ambaye hawezi kufikiri ambaye ni wewe
 
Nimeshudia Unaweza Kuijengà Brand Yako Kwa Miaka Mingi Halafu Ukaja Kuiharibu Ndani ya Muda Mfupi Sana.
 
Hana ushawishi sema nchi imeachwa iamuliwe na wanawake...Samia,asha,tulia nk
 
Hana ushawishi sema nchi imeachwa iamuliwe na wanawake...Samia,asha,tulia nk
Ni shiiiida. Yaani tunaenda kijikejike. Umbea fitna kusengenyana, uoga. Nchi haina ujasiri kabisa wala msimamo wa kuheshimika.
 
hamna wema nyinyi kila anaeteuliwa ana kasoro. Basi tusubiri malaika wa kiume aje kupewa hizo posts.
 
Nakukumbusha pia kuwa Rostam alirejea Nchini wakati wa mwendake ,akazindua na kiwanda chake cha ngozi Morogoro,pia aka engineer Mamvi kurudi ccm wakipokelewa na n Mwendazake mwenyewe Ikulu.
 
Mkiambiwa wanawake tunaweza muwe mnaelewa..!! 😹

Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa……..?
Hapana jamani huyu bibi anatakiwa kupumzika, apewe kazi nyepesi sio hiyo yenye helaheka. Bibi kazeeka anatembea kama ajuza. Ni huzuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…