Ashtakiwa na wazazi kwa kucheza mpira kuzidi watoto wengine

Mndewa1

Senior Member
Joined
Sep 24, 2026
Posts
122
Reaction score
295

View: https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12

View: https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12

View: https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12


Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa kuwa na kipaji cha kucheza mpira wa miguu zaidi ya wenzake
Wazazi wa watoto hao ilibidi waite polisi ili watoto wao waweze kucheza na kuonesha kipaji chao

Mpaka sasa watu mashuhuri na wachezaji wa soka wameonesha kutaka kumsaidia kuendeleza kipaji chake

Jay Z na Kampuni yake ya Roc Nation Sports, wanataka kumpeleka Spain, Lamine Yamal anataka kugharamia mafunzo kwenye academy ya Barcelona, Eddie Johnson wa USMNT, MLS Club ya San Diego inataka kumchukua kwenye academy yao, na wengine wengi

Wazazi wake walitaka msaada wa $15,000 ila mpaka sasa wameshapata $50,000 na michango inaendelea
 
Dunia haina huruma yaan imebidi nicheke tu dogo anawatoa ulimi wenzie anaonekana hii league sio yake ni sawa na dogo kaingia darasa la kwanza kila pepa anagonga 100 na masahihisho anawafanyia wenzie na anawapa lecture walimu wakiangalia wanasema wewe huku hapakufahi ngoja tukuvushe anapelekwa darasa la 5 ili awahi kumaliza shule sio kwa huo ujiniazi
 
Ukisikia kazi ya Mungu haina makosa ndio kama hivi😀
 
ni communists propaganda to keep black people down, communists wameshaamua slave wao (black people) wata excel tu kwenye sports, music i.e rapping, reggae & co. but not classical music vs asians wana excel in sciences and maths.

hii yote ni matayarisho ya racist plan ambapo huko mbele black people watazuiwa (officially kabisa) kusoma university kwa kisingizio cha low iq and only asians (chinese, vietnamese, koreans na hata indians) ndiyo watakauruhusiwa kwanza imeshaanza ingawaje wengi wenu hamjaamka bado na black people wataruhsiwa tu kwenye kwenye sports na music ...
 
Wewe umemeza dawa zako leo ?
 
Wewe si unawasifu wazungu kila siku?
Leo unawaona ni communist kwa sababu wamemfanyia mweusi?
Na ni christians wenzako hao au sio?
Trump anayemchukia Obama naye ni communist au Obama ndio communist?
 
Wewe si unawasifu wazungu kila siku?
Leo unawaona ni communist kwa sababu wamemfanyia mweusi?
Na ni christians wenzako hao au sio?
Trump anayemchukia Obama naye ni communist au Obama ndio communist?

sijawahi kumsifu communists hata siku moja ...
 
Eti showing off hivi mtoto wa miaka miwili anajua kujionesha? Mpaka wanaita polisi wawatoe nje na wazazi wake! Haki these confused species🙄🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…