Asikudanganye mtu—Maandamano 7/7 yatakuwepo, no matter what!

Pulchra Animo

Platinum Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
8,620
Reaction score
15,134
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili:

1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters)

2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters)

Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya sura tatu zifuatazo:

✍️Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji

✍️Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji

✍️
Protest Clash. Hii ikitokea, itahusisha makundi yote mawili kuandamana kwa mtindo wa kukabiliana (confrontational marches). This is ugly, but don’t rule it out!

Kwahiyo, asikudanganye mtu; Maandamano 7/7 yatakuwepo (in one form or another) na dunia itasikia na kuona kilichojiri.
 
Mimi nadhani ile hali ya 29/10 isijirudie. Wananchi wetu bado hawana elimu ya maandamano kama ilivyo kwenye nchi zingine.

Kwetu huku ni fursa ya kufanya vandalism na destruction.

Nchi zingine wanaoandaa wako nchini, hapa kwetu wanaoandaa wako nje kupitia mitandao ya kijamii.

Amani ya nchi ni kitu cha msingi kuliko hiyo mikutano ya wanasiasa
 
Ile 29/10 yake hauwezi kuyaita maandamano.

Ule ulikuwa uharifu au Crimes n.k

Mfano kulikuwa na umuhimu wowote wa kuchoma sheli au( Petrol station)?
 
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili:

1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters)

2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters)

Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya sura tatu zifuatazo:

✍️Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji

✍️Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji

✍️
Protest Clash. Hii ikitokea, itahusisha makundi yote mawili kuandamana kwa mtindo wa kukabiliana (confrontational marches). This is ugly, but don’t rule it out!

Kwahiyo, asikudanganye mtu; Maandamano 7/7 yatakuwepo (in one form or another) na dunia itasikia kilichojiri.

Serikali hata ikiruhusu maandamano , unafikiri ni Watanzania wangapi wataweza kuandamana??hata kwa siku 3

Ikiwa watu hata uhakika wa kupata Milo 3 hawana mpaka watoke ndani wakaangaike huku na kule

Ujue wafuasi wa siasa uwezo wa kufikiri upo chini sana
 
Haw
Ile 29/10 yake hauwezi kuyaita maandamano.

Ule ulikuwa uharifu au Crimes n.k

Mfano kulikuwa na umuhimu wowote wa kuchoma sheli au( Petrol station)?
Hawakuanza kuchoma hivi hivi.
Walianza kufanya hivyo baada ya kuzuiwa kwa mabomu ya machozi vipigo na risasi.
Video za mwanzo zipo Kibao.
Mikoani walianza vurugu baada ya kuona na kusikia ubabe waliofanyiwa watu wa Dar Ubungo, na Kimara.
 
Locke amewahi kusema "watu wanaweza kuvumilia mengi lakini siyo dhuruma ya mara kwa mara"
 
Haw
Hawakuanza kuchoma hivi hivi.
Walianza kufanya hivyo baada ya kuzuiwa kwa mabomu ya machozi vipigo na risasi.
Video za mwanzo zipo Kibao.
Mikoani walianza vurugu baada ya kuona na kusikia ubabe waliofanyiwa watu wa Dar Ubungo, na Kimara.

Jenga hoja , je ikiwa waandamanaji wamepigwa risasi, kuzuuliwa na Askari

Je kwanini walienda kuchoma sheli?

Kuna uhusiano Gani katika ya kudai mabadiliko na kuchoma sheli au kuharibu miundombinu ya mwendo kasi

Kwahiyo wewe ukigombana na Mke wako unachoma nyumba???
 
Walitaka kusimamisha shughuli za kuzalisha mapato ya serikali ili Askari nao wakose mshahara wasaidie kudai haki.
Pili walitaka kuzuia upigaji kura usiendelee kwa kuzuia mtu anaye kaa mbali na kituo cha kura asiende kupiga kura.
Hiyo inaitwa tukose wote tukae chini tupatane namna ya kula wote kwa usawa.
 
Kipato chetu ni mtu atoke apate ridhiki

Na tuna familia zinahitaji usalama wa Kipato chetu sisi wazazi walala hoi

Tena tuna watoto wachanga kama wewe Fala wanahitaji kutegemezwa.!

Sasa kama unadhani Fujo ndiyo utatuzi wa njaa za watu ni shida zako hazituhusu

Nyerere alipigania watu uhuru kabla ya muda na madhara tunayaona mpaka leo

Nyie Mbwa msipodhibitiwa mtatuletea Madikteta wabaya kuliko waliotangulia
 
Mimi nadhani ile hali ya 29/10 isijirudie. Wananchi wetu bado hawana elimu ya maandamano kama ilivyo kwenye nchi zingine.

Kwetu huku ni fursa ya kufanya vandalism na destruction.

Nchi zingine wanaoandaa wako nchini, hapa kwetu wanaoandaa wako nje kupitia mitandao ya kijamii.

Amani ya nchi ni kitu cha msingi kuliko hiyo mikutano ya wanasiasa
Unajivisha koti la AMANI ambalo thamani yake huijui.

Nani anayehusika hasa katika vurugu katika maandamano ya hapa, hili pia hulijui?

Hao wanaokuimbisha wimbo wa AMANI kama kasuku, hata huwezi kujuwa kuwa wao ndio wahusika wakuu wa uvunjifu wa amani?
Ni mara ngapi watu wameumizwa kwa kutumia mabavu hata mahali ambapo hapakuhitajika matumizi ya mabavu, huko ndiko kujenga amani?
Watu wanajitokeza kusikiliza kesi mahakamani, badala yake wanasombwa na kupelekwa msituni na kuumizwa huko kabla ya kutelekezwa, huko ndiko kujenga amani?

Samia anapokataa bila hata ya sababu zozote kufanya marekebisho tu ya sheria pawepo na angalao mwonekano wa uchaguzi kuwa wa HAKI na HURU; hiyo ndiyo kujenga hiyo amani unayoiimba hapa?

Sasa nime'confirm', you're worse kama alivyo Samia mwenyewe.
 
Kipato chetu ni mtu atoke apate ridhiki

Na tuna familia zinahitaji usalama wa Kipato chetu sisi wazazi walala hoi

Tena tuna watoto wachanga kama wewe Fala wanahitaji kutegemezwa.!

Sasa kama unadhani Fujo ndiyo utatuzi wa njaa za watu ni shida zako hazituhusu

Nyerere alipigania watu uhuru kabla ya muda na madhara tunayaona mpaka leo

Nyie Mbwa msipodhibitiwa mtatuletea Madikteta wabaya kuliko waliotangulia
Your time is up, stupid scum bags
No amount of lamentation is going to save you.
 
Walitaka kusimamisha shughuli za kuzalisha mapato ya serikali ili Askari nao wakose mshahara wasaidie kudai haki.
Pili walitaka kuzuia uoigaji kura usiendelee kwa kuzuia mtu anaye kaa mbali na kituo cha kura asiende kupiga kura.
Hiyo inaitwa tukose wote tukae chini tupatane namna ya kula wote kwa usawa.

Unafikiri hizo sheli zote ni za serikali ?

Ikiwa wafanyabiashara wanawekeza katika biashara zao kwa jasho na damu then watu wanaochoma mali zao , unafikiri ni sahihi.

Katika ulimwengu wa realistic , usipotumia akili lazima utapata madhara makubwa sana .

Lazima upime faida na hasara.

Ikiwa tatizo lako ni serikali usiingize matatizo yako ktk mali za watu .

Ndo vyombo vya usalama vinazuia maandamano wanajua kuwa Masikini ni MTU anayeongozwa na Chuki na sio ukweli .

Kwahiyo End of the day anamuona tajiri aliyemzidi kama threat kwake.
 
Serikali hata ikiruhusu maandamano , unafikiri ni Watanzania wangapi wataweza kuandamana??hata kwa siku 3

Ikiwa watu hata uhakika wa kupata Milo 3 hawana mpaka watoke ndani wakaangaike huku na kule

Ujue wafuasi wa siasa uwezo wa kufikiri upo chini sana
Duh!

Kumbe wewe ni "Empty container" kikwelikweli!
 
Back
Top Bottom