Asikudanganye mtu—Maandamano 7/7 yatakuwepo, no matter what!

Asikudanganye mtu—Maandamano 7/7 yatakuwepo, no matter what!

Your time is up, stupid scum bags
No amount of lamentation is going to save you.
Ivi Fala kama wewe hata kutumia maandiko kujibu ni uharibifu wa rasilimali ufahamu

Mwenye hekima hausishi shida zake na watu

Ukifanya hivyo ushatoka mchezo zamani sana

Mimi hata kiongozi awe 'BaTa' maisha yanaendelea Fala we.!
 
Yule mtoto ambaye unampiga kwa kumuonea kila unapomuona na ameshakuuliza mara nyingi kwanini unamuonea ila ukaendelea kumuonea bila kujali maumivu yake ya hisia, kuna siku utampiga ataondoka na kurudi na silaha kukukabili sababu yeye kuwa mpole haijasaidia katika process ya kupata haki yake ya kuishi kwa amani. Umezoea unampiga anakimbia akilia na kusema anakwenda kukusemea. Ipo siku atakimbia ila hatosema kitu wala kukwambia anakwenda kukusemea ila ataenda na kurejea na silaha ya kukabiliana na wewe ili kukufunza adabu.
 
Uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana

Na mlivyokosa hekima mnawategemea watoto wa Masikini ndo wakaandamane huku nyie watoto wenu mkiwa mmewafungia ndani
Ngoja nirudie tena, kwa fikra hizi unazoonyesha katika haya maandishi niliyosoma leo humu JF, wewe ni 'Empty container' kwelikweli.
Sijawahi kukusoma tokea uingie humu JF, kabla ya hiyo mada ya ajabu uliyoanzisha jana.
Sasa leo, kwa mwendelezo wa haya yote unayoandika leo, ni dhahiri kabisa wewe kichwani hazitoshi.

Na si kwa sababu unalipwa kuandika upuuzi huu humu, sababu pekee ni kwamba hujui kitu.
 
Ivi Fala kama wewe hata kutumia maandiko kujibu ni uharibifu wa rasilimali ufahamu

Mwenye hekima hausishi shida zake na watu

Ukifanya hivyo ushatoka mchezo zamani sana

Mimi hata kiongozi awe 'BaTa' maisha yanaendelea Fala we.!
Ngoja nikujibu kwa staha mara hii, nikitegemea unazo akili kigogo za kukustua ujuwe upumbavu wako ulipo.

Nenda kamuulize Samia; kwa nini yote haya anayasababisha yeye?
Usilaumu watu wasiohusika na hayo unayoyalalamikia wewe.

Sasa, kama bado hutataka kuelewa nilichokueleza hapa, wewe utakuwa ni 'scum bag' kwelikweli.
 
Mimi Sina shida na ushangingi wa pwani, sijui kama Unaelewa hilo.!?

Ninachojaribu kuzungumzia ni hivi...

Hulka zenu za mabadiliko haziishiii pale mlipo tu hinahusisha na wasio kuwapo.! Unaelewa hilo au una Kicho ndani yako.!

Chain ya maisha ni ndefu kuliko upumbavu wako
 
Serikali hata ikiruhusu maandamano , unafikiri ni Watanzania wangapi wataweza kuandamana??hata kwa siku 3

Ikiwa watu hata uhakika wa kupata Milo 3 hawana mpaka watoke ndani wakaangaike huku na kule

Ujue wafuasi wa siasa uwezo wa kufikiri upo chini sana
Hoja yako ni dhaifu sana, Afrika kusini mapinduzi waliyo yafanya dhidi ya Apartheid, wananchi wake walikuwa wakiishi maisha gani kwa kipindi hicho?

Vipi kuhusu Francia mwaka 1789?

Hawa raia unaowaona wana njaa kwa sasa ndiyo wenye uwezo wa kufanya mapinduzi makubwa tu hata kama haitokuwa mwaka huu/kesho.
 
Unajivisha koti la AMANI ambalo thamani yake huijui.

Nani anayehusika hasa katika vurugu katika maandamano ya hapa, hili pia hulijui?

Hao wanaokuimbisha wimbo wa AMANI kama kasuku, hata huwezi kujuwa kuwa wao ndio wahusika wakuu wa uvunjifu wa amani?
Ni mara ngapi watu wameumizwa kwa kutumia mabavu hata mahali ambapo hapakuhitajika matumizi ya mabavu, huko ndiko kujenga amani?
Watu wanajitokeza kusikiliza kesi mahakamani, badala yake wanasombwa na kupelekwa msituni na kuumizwa huko kabla ya kutelekezwa, huko ndiko kujenga amani?

Samia anapokataa bila hata ya sababu zozote kufanya marekebisho tu ya sheria pawepo na angalao mwonekano wa uchaguzi kuwa wa HAKI na HURU; hiyo ndiyo kujenga hiyo amani unayoiimba hapa?

Sasa nime'confirm', you're worse kama alivyo Samia mwenyewe.
Matusi ni jadi yako huwezi kuiacha, ila nakukumbusha tu kuwa ustaarabu ni kukubali kutokubaliana.

Amani ya nchi yetu ni ya muhimu kuliko kitu chochote. Haijalishi Samia kashinda kwa 2% au 95% as long as Tume ya Uchaguzi ilimtangaza anabakia ni Rqos wetu hadi 2030.

Hatuwezi kudai haki kwa vurugu, haikubaliki. Tutakuwa Sudan nyingine
 
Jenga hoja , je ikiwa waandamanaji wamepigwa risasi, kuzuuliwa na Askari

Je kwanini walienda kuchoma sheli?

Kuna uhusiano Gani katika ya kudai mabadiliko na kuchoma sheli au kuharibu miundombinu ya mwendo kasi

Kwahiyo wewe ukigombana na Mke wako unachoma nyumba???
Mwaka 1939 wanasayansi Dollard na Miller waliandika jambo waliloliita Frustration Aggression"

"Binadamu anapozuiwa kabisa kufikia lengo lake kwa njia zote za amani , uvumilivu wake huwa unabdilika na kuwa hasira, anakuwa na jeuri bila kujali chochote kitakachotokea"

Unapaswa kujiuliza , kabla ya hali kufikia hatua hiyo, chanzo kilikuwa ni nini?

Na je una amini kweli mamlaka haikuwa na namna yoyote ya kuweza kuzuia hali hiyo kabla ya kufikia hatua hiyo (watu kuandamana?)
 
Mimi Sina shida na ushangingi wa pwani, sijui kama Unaelewa hilo.!?

Ninachojaribu kuzungumzia ni hivi...

Hulka zenu za mabadiliko haziishiii pale mlipo tu hinahusisha na wasio kuwapo.! Unaelewa hilo au una Kicho ndani yako.!

Chain ya maisha ni ndefu kuliko upumbavu wako
Sasa unabwabwaja hata usiyoyaelewa mwenyewe, mradi tu uonekane umejibu.

Nitaelewa vipi huo "ushangingi wa pwani" Ni bidhaa unayoiuza wewe?
Hao "wasiokuwepo" wanakuhusu vipi wewe hadi uje kuwasemea hapa, wamekutuma?

Usijihusishe na hiyo "chain ndefu" yote; jihusishe na hiyo inayokuhusu wewe.
Inaonyesha wazi wewe ni mtu wa mipasho tu, kama alivyo Samia, mtupu kabisa kichwani.
 
Serikali hata ikiruhusu maandamano , unafikiri ni Watanzania wangapi wataweza kuandamana??hata kwa siku 3

Ikiwa watu hata uhakika wa kupata Milo 3 hawana mpaka watoke ndani wakaangaike huku na kule

Ujue wafuasi wa siasa uwezo wa kufikiri upo chini sana
Kuna vitu unatakiwa kufahamu.

Maandamano yakikolea na raia wengi wakijoin hiyo njaa unayosema haitakuwapo. Raia watakuwa na solidarity, tutakula mikate na maji hata mwezi mzima. Wiki tu ya maandamano kila kitu kinaweza kusimama sasa uchumi na shughuli za kiserikali zitakwendaje?
 
Una fikra mgando sana
 
Mwaka 1939 wanasayansi Dollard na Miller waliandika jambo waliloliita Frustration Aggression"

"Binadamu anapozuiwa kabisa kufikia lengo lake kwa njia zote za amani , uvumilivu wake huwa unabdilika na kuwa hasira, anakuwa na jeuri bila kujali chochote kitakachotokea"

Unapaswa kujiuliza , kabla ya hali kufikia hatua hiyo, chanzo kilikuwa ni nini?

Na je una amini kweli mamlaka haikuwa na namna yoyote ya kuweza kuzuia hali hiyo kabla ya kufikia hatua hiyo (watu kuandamana?)
Yaani katika Dunia yetu hii this life is urs 100%

Ndo maana haujaona mtoto wa mwanasiasa yeyote anauliwa iwe CCM au Chadema au Chauma

Kwahiyo unabidi kuwa na uwezo wa ku-calculate RISK , out that utajikuta unajiingiza ktk matatizo ambayo haukutarajia

Be realistic and not idealist

Everything has a price
 
WhatsApp Image 2025-10-05 at 1.37.41 PM.jpeg
 
Sasa unabwabwaja hata usiyoyaelewa mwenyewe, mradi tu uonekane umejibu.

Nitaelewa vipi huo "ushangingi wa pwani" Ni bidhaa unayoiuza wewe?
Hao "wasiokuwepo" wanakuhusu vipi wewe hadi uje kuwasemea hapa, wamekutuma?

Usijihusishe na hiyo "chain ndefu" yote; jihusishe na hiyo inayokuhusu wewe.
Inaonyesha wazi wewe ni mtu wa mipasho tu, kama alivyo Samia, mtupu kabisa kichwani.
We Maku kweli.!

Matatizo yaliyotokezwa kimasikhara ile 29 unadhani ni ya kupuuza kiasi hicho..!

Serikali ni ya ki pumbavu na wewe mjinga mmoja unatumia upumbavu wako kupingana na wa wajinga.!

Tena Maku yako na Makebo ya marehemu bibi zenu

Unajua familia ngapi siku ile zilikuwa na giza.!
 
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili:

1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters)

2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters)

Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya sura tatu zifuatazo:

✍️Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji

✍️Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji

✍️
Protest Clash. Hii ikitokea, itahusisha makundi yote mawili kuandamana kwa mtindo wa kukabiliana (confrontational marches). This is ugly, but don’t rule it out!

Kwahiyo, asikudanganye mtu; Maandamano 7/7 yatakuwepo (in one form or another) na dunia itasikia kilichojiri.
Mkware wa DC wa Kisarawe umekaaje?
 
Everything has a price
Niambie gharama ya kukaa kimya ni nini?
Ndo maana haujaona mtoto wa mwanasiasa yeyote anauliwa iwe CCM au Chadema au Chauma
Sawa lakini watoto wa wananchi wanakufa polepole kwa umaskini, ukosefu wa dawa, na kukosa elimu bora, nikupe mfano mdogo tu kukufungua ufahamu wako, familia za Mobutu Congo waliiba nchi nzima, leo hii unaona jinsi Congo ilivyo maskini ingawa ina utajiri mkubwa duniani?
Kwahiyo unabidi kuwa na uwezo wa ku-calculate RISK , out that utajikuta unajiingiza ktk matatizo ambayo haukutarajia
Unaweza kuamua kutolipa gharama ya maandamano, ni haki yako lakini usiseme kwamba wanaolipa hiyo gharama ni wapumbavu.

Wanalipia kitu ambacho wewe na familia yako utakula matunda yake au machungu yake kesho yako, hata kama haitokuwa ni wewe , wanaweza kuwa watoto wako.
 
Back
Top Bottom