Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
- Thread starter
- #41
Kwani maandamano yanapaswa kuwa ya siku ngapi ili yahesabike kuwa maandamano?Serikali hata ikiruhusu maandamano , unafikiri ni Watanzania wangapi wataweza kuandamana??hata kwa siku 3
Ikiwa watu hata uhakika wa kupata Milo 3 hawana mpaka watoke ndani wakaangaike huku na kule
Ujue wafuasi wa siasa uwezo wa kufikiri upo chini sana