Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Mimi nadhani ile hali ya 29/10 isijirudie. Wananchi wetu bado hawana elimu ya maandamano kama ilivyo kwenye nchi zingine.
Kwetu huku ni fursa ya kufanya vandalism na destruction.
Nchi zingine wanaoandaa wako nchini, hapa kwetu wanaoandaa wako nje kupitia mitandao ya kijamii.
Amani ya nchi ni kitu cha msingi kuliko hiyo mikutano ya wanasiasa
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili:
1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters)
2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters)
Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya sura tatu zifuatazo:
✍️Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji
✍️Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) wakibaki kama watazamaji
✍️Protest Clash. Hii ikitokea, itahusisha makundi yote mawili kuandamana kwa mtindo wa kukabiliana (confrontational marches). This is ugly, but don’t rule it out!
Kwahiyo, asikudanganye mtu; Maandamano 7/7 yatakuwepo (in one form or another) na dunia itasikia kilichojiri.
Hawakuanza kuchoma hivi hivi.Ile 29/10 yake hauwezi kuyaita maandamano.
Ule ulikuwa uharifu au Crimes n.k
Mfano kulikuwa na umuhimu wowote wa kuchoma sheli au( Petrol station)?
Haw
Hawakuanza kuchoma hivi hivi.
Walianza kufanya hivyo baada ya kuzuiwa kwa mabomu ya machozi vipigo na risasi.
Video za mwanzo zipo Kibao.
Mikoani walianza vurugu baada ya kuona na kusikia ubabe waliofanyiwa watu wa Dar Ubungo, na Kimara.
Walitaka kusimamisha shughuli za kuzalisha mapato ya serikali ili Askari nao wakose mshahara wasaidie kudai haki.Jenga hoja , je ikiwa waandamanaji wamepigwa risasi, kuzuuliwa na Askari
Je kwanini walienda kuchoma sheli?
Kuna uhusiano Gani katika ya kudai mabadiliko na kuchoma sheli au kuharibu miundombinu ya mwendo kasi
Kwahiyo wewe ukigombana na Mke wako unachoma nyumba???
Unanipa mizuka sana.Mimi nimejiandaa na mikuki na upinde ya kutosha kukabiliana na watakaotaka kuzuia maandamano ya 77
Unajivisha koti la AMANI ambalo thamani yake huijui.Mimi nadhani ile hali ya 29/10 isijirudie. Wananchi wetu bado hawana elimu ya maandamano kama ilivyo kwenye nchi zingine.
Kwetu huku ni fursa ya kufanya vandalism na destruction.
Nchi zingine wanaoandaa wako nchini, hapa kwetu wanaoandaa wako nje kupitia mitandao ya kijamii.
Amani ya nchi ni kitu cha msingi kuliko hiyo mikutano ya wanasiasa
Your time is up, stupid scum bagsKipato chetu ni mtu atoke apate ridhiki
Na tuna familia zinahitaji usalama wa Kipato chetu sisi wazazi walala hoi
Tena tuna watoto wachanga kama wewe Fala wanahitaji kutegemezwa.!
Sasa kama unadhani Fujo ndiyo utatuzi wa njaa za watu ni shida zako hazituhusu
Nyerere alipigania watu uhuru kabla ya muda na madhara tunayaona mpaka leo
Nyie Mbwa msipodhibitiwa mtatuletea Madikteta wabaya kuliko waliotangulia
Walitaka kusimamisha shughuli za kuzalisha mapato ya serikali ili Askari nao wakose mshahara wasaidie kudai haki.
Pili walitaka kuzuia uoigaji kura usiendelee kwa kuzuia mtu anaye kaa mbali na kituo cha kura asiende kupiga kura.
Hiyo inaitwa tukose wote tukae chini tupatane namna ya kula wote kwa usawa.
Duh!Serikali hata ikiruhusu maandamano , unafikiri ni Watanzania wangapi wataweza kuandamana??hata kwa siku 3
Ikiwa watu hata uhakika wa kupata Milo 3 hawana mpaka watoke ndani wakaangaike huku na kule
Ujue wafuasi wa siasa uwezo wa kufikiri upo chini sana
Kw ajili ya niniNauza vidumu vya tomato lita tano wakuu.. karibuni kuniungisha mwana chama mwenzenu