Asikudanganye mtu—Maandamano 7/7 yatakuwepo, no matter what!

Kwani maandamano yanapaswa kuwa ya siku ngapi ili yahesabike kuwa maandamano?
 
Dah!
Basi bwanah!
Hata kuandika tu ueleweke ni shida kubwa kwako?

"Matatizo yapi yalitokea "kimaskhala". Kuna uhusiano gani wa masikhala na watu kuuliwa kikatili vile. Wewe unaita "masikhara"?

Kama "serikali ni ya kipumbavu", nikiipinga ninakuwa mjinga? Hiyo akili yako inafanyaje kazi, unajuwa?

Lakini ajabu ni kwamba, mimi "mjinga" napinga serikali ya "kipumbavu"; halafu katika mstari huo huo mmoja, unanigeuza mimi kuwa "mpumbavu" ninayepingana na "wajinga".
Haya maneno unayageuzageuza ili yaeleweke vipi? Huko kichwani kwako kuko sawa kweli?

Mimi kujuwa "familia zilizokuwa na giza" kunahusiana vipi na ninayoandika humu JF.

Nikisema wewe ni chizi uliyeathiriwa na bange nyingi kichwani, utaniona kuwa ninakusuta bila ya sababu?
 
Kwa utawala huu wa watu kupotezwa, kutekwa, ufisadi, undugu na uzanzibar kuna amani gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…