RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Nakulia timing maalim!HahahahaMoisemusajiografii naona umenikimbia kabisa sasa, teh teh teh!
Kwa kweli watu wanaonunua brand new cars (wengi tunaziita 0 km) wanafaidi saana. Yaani unakuta gari ni safi, kila kitu kiko on point, miguu imekaa vizuri, seat ni safi, rangi imetulia hakuna scratch hata moja, taa zote zinang'ara, yaani mpaka tairi ni mpya. Sasa ukute ni gari la Mjerumani kama hilo E class nililobahatika kuliona ndio usipime. That was my first time around a brand new car, ila nimegundua kwa kweli sisi tunaonunua used cars za miaka 10 iliyopita na zaidi, tunamiss vitu vingi saana.
Sasa wewe chuma kama hicho hapo juu utakidaka lini mzee ?Nakulia timing maalim!
Kibongo bongo inakuwa gharama sana. Ukichange hizo dolali, ukatia na kodi, utaona bora ufungue mradi tu.Mkwanja tu ukiwa nao hivyo vipya havikupi taabu!!
Zimekaa poa saana zile. Siku hizi wanaziita GLS. Na bei zinashuka haraka kuliko Land Cruiser. Sema wasiwasi wangu ni kwenye vipuli na mafundi wetu.Kiu yangu ni MB GL 63 model za hivi karibuni though najua ni ndoto tu hio.
Siiatii picha 0 km yake itakuaje.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hehehee. Waliniruhusu aise. Ukitaka hata test ride wanakupa. Nilikuwa more interest na the S Class. Ndio niliingia ndani. Nitaleta hiyo video soon.Hawakukuruhusu ufungue mlango ukae kama mteja kupata hisia ukiwa ndani ya gari unajisikiaje...? Na kunakili video kwa ndani pia...?
Hiyo sauti ni yako...???!!!
Kuna mahali unasikika kama unanena kwa lugha....!!?😅
Sisi huku kwetu hizo gari zinaonekana ni ndoto. Kodi iko juu saana. Kodi yake tu unanunua gari la maana.
Sio gari zote za kifahari zilizopo bongo wenyewe walilipa kodi stahiki,wengine wamepita dengeSisi huku kwetu hizo gari zinaonekana ni ndoto. Kodi iko juu saana. Kodi yake tu unanunua gari la maana.
Daa! Sijui huwa wanafanikishaje. Mie napenda uzalendo kwa kweli, ila ninaposikia kuna watu wanaendesha magari ya maana kwa bei ya chini ya Rav4 kuna wakati nakuwa tempted kwa kweli.Sio gari zote za kifahari zilizopo bongo wenyewe walilipa kodi stahiki,wengine wamepita denge
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mengi ni misamaha ya kodi kwa kupitia makanisa na NGOsSio gari zote za kifahari zilizopo bongo wenyewe walilipa kodi stahiki,wengine wamepita denge
Sent using Jamii Forums mobile app