RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
- #61
Hehehee, zinanukia vizuri aise. Na harufu haishi. Sio ile ya ku spray kwenye car wash.Nimecheka balaa, lakini hii harufu nzur hata zitokazo japan zenye uhafadhali zinanukia. Hivi aliyonayo yusuf bakhresa ndo km hii msemayo g wagon? Imeandikwa BRABUS
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni G class yes. Sema iko tuned na hoo watu wa BRABUS. Ni kampuni inayotune (kama ku customize) magari ya Mercedes, lakini mara nyngi hawabadilishi mwonekano wa nje, ila wanaweka logo yako ya B. Lile dude ni zuri balaa. Niliwahi kuona picha zake.