Asikwambie mtu, kumiliki a Brand New Mercedes Benz is so much fun

Asikwambie mtu, kumiliki a Brand New Mercedes Benz is so much fun

Mercedes Benz ni moja ya magari ambayo naona hayajakosewa kabisa aisee hapo kwa kaburu ndio wanafyatua matoleo mapya ya vijana kila mwezi na ukijaribu kudrive Benz huwezi kuendesha Gari zingine ukaona Comfort iliyopo humo pamoja na balance walitengeneza Gari hao jamaa na uzuri ina spare imara sio za kubadilisha badilisha...tatizo kodi yake imenyanyuka sana hasa haya matoleo ya 2012 kuendelea...
Tatizo
BG517437_ab3528.jpg
Bei inasimamia kucha mkuu cheki hiyo ya mwaka 1997 inagonga $25,000
 
Aisee itakua ni hatari Arusha niliyaona hayo yapo matatu tuu na ubishi wao wote...
Kuna kipindi maaskofu walikuwa wanayapenda saana hayo madude. Siku hizi sijui imekuaje. Naona wengi wana Land Cruisers.
 
Kuna kipindi maaskofu walikuwa wanayapenda saana hayo madude. Siku hizi sijui imekuaje. Naona wengi wana Land Cruisers.
Ok kwa wao sio mbaya Kodi hawalipi nadhani wameona Cruiser ni bora zaidi na ina mapumziko pia...
 
Yes. Maana naamini Land Cruisers ni reliable zaidi kuliko hizo gari.
Mkuu ukiziona unaona kama ni ngumu fulani ila zipo comfort sana kuliko unavyodhania na pia balance ya hiyo G huwezi kufananisha na aina nyingi za magari limetulia bara barani utadhani jiwe hiyo ndugu zake ni Porsche Cayanne sio Cruiser...
 
Back
Top Bottom