RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
- #21
Maana jamaa wana magari ya maana saana hao.Na mengi ni misamaha ya kodi kwa kupitia makanisa na NGOs
Sent from my SM using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana jamaa wana magari ya maana saana hao.Na mengi ni misamaha ya kodi kwa kupitia makanisa na NGOs
Sent from my SM using Tapatalk
Sana na mengi ni private in a way lakini hayawezi kuuzika maana jina litabaki la taasisiMaana jamaa wana magari ya maana saana hao.
G wagon mpya hiyo eeh! Safi saana. Enzi hizo walikuwa nazo maaskofu. Siku hizi naona wamehamia kwenye Land Cruiser.
So ukinunua linabaki na jina la kanisa. Ilitakiwa walazimishwe tuweka nembo au jina la kanisa kama magari ya shule 🙂🙂Sana na mengi ni private in a way lakini hayawezi kuuzika maana jina litabaki la taasisi
Sent from my SM using Tapatalk
Wataumbuka wengiSo ukinunua linabaki na jina la kanisa. Ilitakiwa walazimishwe tuweka nembo au jina la kanisa kama magari ya shule 🙂🙂
Zimekaa poa saana zile. Siku hizi wanaziita GLS. Na bei zinashuka haraka kuliko Land Cruiser. Sema wasiwasi wangu ni kwenye vipuli na mafundi wetu.
Wataumbuka wengi
Kuna biashara haramu kibao humo
Sent from my SM using Tapatalk
Bana hizo gari ni balaa. Nilipewa lift kwenye S Class, usifanye mchezo. Ndani ni kuzuri balaa. Akikuwekea seat heaters na massage, unaweza usishuke. Omba siku moja uliendeshe utoe gundu. Maana G class tena AMG ni next level. Bei yake hata S class haitii mguu.Sure kitu AMG hicho,Kuna mbunge analo hilo ndani lipo kama ndege na speed yake ni balaa.
Ngoja niimbe ule wimbo wa 'tenda miujiza'.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hehehee. Waliniruhusu aise. Ukitaka hata test ride wanakupa. Nilikuwa more interest na the S Class. Ndio niliingia ndani. Nitaleta hiyo video soon.
Hata sijaelewa vizuri.undefinedinakaa kama landrover 109
Cool. Just that nothing more.
Hahahahahahahaha
aliekuloga mama nadhan ameshafariki
MmmhWewe na Rugambwa ni mtu mmoja??
Hivi kuna wachawi duniani? na kama wanachawia, mbona huwa hawachawii wao wasife? waishi milele na milele? Kuna anayependa kufa kweli...!!!??
Wewe aliyekuroga bado yupo??
K' Matata.
Kuna zinazotoka South na Mozambique,hizo mchawi interpol tu.Daa! Sijui huwa wanafanikishaje. Mie napenda uzalendo kwa kweli, ila ninaposikia kuna watu wanaendesha magari ya maana kwa bei ya chini ya Rav4 kuna wakati nakuwa tempted kwa kweli.
Mmmh
Oh okay, watu wanakula maisha bana. Safi saana.
Nimeogopa uchawi.Kulikoni.,.!!?