Asikwambie mtu, kumiliki a Brand New Mercedes Benz is so much fun

Hii ndio G wagon ya kwanza ku fall inlove nayo. Imekuwa designed with appealing round edges hata taa zake ziko very tempting. G wagon inapendeza ikiwa hivi bila kuweka ma kit ya ajabu ajabu.
Kuna jamaa wa YouTube, Doug DeMuro, aliwaponda saana kwenye channel yake, naona wakafanya maboresho. Ametoa video nyingine na ku appreciate hizo changes.
 
Kuna siku nilipita ford kule changombe,wana kama warehouse flan,ndo vifaa vyote vya gar zao vipo kule,batery etc...kuna gar mpya tuu huko,0km...wale jamaa kama ukichkua gar kwao,halaf badae kama imetoka brand new,unaongeza pesa unabadili gar wanakupa brand new

Wanasema ndo utaratib wa kampuni nying,..kwa gar mpya lakin,0km

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nasikia mwisho ni miezi kadhaa. Baada ya hapo unakamatwa. Lazima uisajili kwa huku.
Mkuu hiyo brand new ukiendesha ndani ya mwaka unakuwa walau umefikia maximum satisfaction kwa maisha ya mtanzania.

Unajikaza kulipia vibali vya kutumia hata kama ni miezi 4 najua ndani ya mwaka utalipia mara 3.

Brand new ina raha yake, inatoa stress zote na kukupa heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee, I like your spirit kwa kweli. Bana ina satisfaction yake kweli. Kwanza sijui inanukia nini. Nafikiri inakuja na mafuta ya kiwandani pia, maana mmmh
 
Hehehee, I like your spirit kwa kweli. Bana ina satisfaction yake kweli. Kwanza sijui inanukia nini. Nafikiri inakuja na mafuta ya kiwandani pia, maana mmmh
Nimecheka balaa, lakini hii harufu nzur hata zitokazo japan zenye uhafadhali zinanukia. Hivi aliyonayo yusuf bakhresa ndo km hii msemayo g wagon? Imeandikwa BRABUS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo safi saana. Maana wanakuondoloea usufumbu wa kutafuta mjeta kuuza gari lako la zamani. Na unakuta hauongezi pesa nyingi saana kama gari limetunzwa vizuri.
 
Kuna Gl E, Gl C na GLS. Zinaendana na salon models A, C, E na S. So GLS ina options zote kwa kiwango cha juu ikifuatiwa na GLE

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, wamebadilisha naming system yao, na kuongeza hizo CLC NA GLA. GLE zamani ilikuwa ML au M Class. Hizo Bongo naziona nyingi kidogo, japo ni zile model za zamani.
 
Mkuu naitafuta hiyo ya zamani hata kama imekufa nitaiamsha

Sent using Jamii Forums mobile app
Bana, hizo gari hazifi. Ni kama Land Rover 109 na Defender. Watu wamezitumia kwa miaka kibao na bado zipo. Ila nimepitia website za used cars nimeziona, ila mkasi wake bado uko juu kwa gari la kizamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…