RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
-
- #61
Hehehee, zinanukia vizuri aise. Na harufu haishi. Sio ile ya ku spray kwenye car wash.Nimecheka balaa, lakini hii harufu nzur hata zitokazo japan zenye uhafadhali zinanukia. Hivi aliyonayo yusuf bakhresa ndo km hii msemayo g wagon? Imeandikwa BRABUS
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja. Japo jamaa wanasema lile la nyumbani kwa Mjerumani ni habari nyingine. Sababu huko benz zinatumika kwa karibu kila kazi. Mpaka taxi. So ni gumu balaa. Hizi za nje huwa sio imara saana.Mercedes Benz ni moja ya magari ambayo naona hayajakosewa kabisa aisee hapo kwa kaburu ndio wanafyatua matoleo mapya ya vijana kila mwezi na ukijaribu kudrive Benz huwezi kuendesha Gari zingine ukaona Comfort iliyopo humo pamoja na balance walitengeneza Gari hao jamaa na uzuri ina spare imara sio za kubadilisha badilisha...tatizo kodi yake imenyanyuka sana hasa haya matoleo ya 2012 kuendelea...
Mjerumani anachokifanya ni kutoa leseni hao wengine watengeneze kwa ubora wake ndio maana alimfutia leseni Mjapani kuzitengeneza zilikua zinakua nyepesi sana...Mkuu Benz hazijakosewa amini ninachokueleza ndio maana hata kwa sisi tunaosafiri umbali mrefu kutoka Johannesburg mpaka Tanzania hutakutana na Benz imesumbua bara barani tatizo la umeme au haliwaki kama magari mengine hicho kitu sahau kabisa..Naunga mkono hoja. Japo jamaa wanasema lile la nyumbani kwa Mjerumani ni habari nyingine. Sababu huko benz zinatumika kwa karibu kila kazi. Mpaka taxi. So ni gumu balaa. Hizi za nje huwa sio imara saana.
Okay, hizo za SA kweli sina uzoefu nazo saana. US ndio nilisikia jamaa wanalalamika. Kwamba Benz za kwao kidogo zinasumbua ukilinganisha na imports from Ujerumani au zile zinazouzwa Ulaya.Mjerumani anachokifanya ni kutoa leseni hao wengine watengeneze kwa ubora wake ndio maana alimfutia leseni Mjapani kuzitengeneza zilikua zinakua nyepesi sana...Mkuu Benz hazijakosewa amini ninachokueleza ndio maana hata kwa sisi tunaosafiri umbali mrefu kutoka Johannesburg mpaka Tanzania hutakutana na Benz imesumbua bara barani tatizo la umeme au haliwaki kama magari mengine hicho kitu sahau kabisa..
Sio saloon car tuu hata upate Benz Actros roli au Scania ya kaburu ipo tofauti na za Ulaya...Okay, hizo za SA kweli sina uzoefu nazo saana. US ndio nilisikia jamaa wanalalamika. Kwamba Benz za kwao kidogo zinasumbua ukilinganisha na imports from Ujerumani au zile zinazouzwa Ulaya.
Kwa kweli jamaa huwa ninawakubali saana kwenye technologia. Hata ukipanda Actros, ndani ni comfortable utadhani saloon car. Ila soon wataanza kuziassembe Afrika Mashariki. Wenda itasaidia kwenye kodi.Sio saloon car tuu hata upate Benz Actros roli au Scania ya kaburu ipo tofauti na za Ulaya...
Benz Mimi nimezipitisha na SA ikiwa katika Auction za ajali haina bei tofauti na Gari zingine hata kama haijagongwa bei ipo kawaida sana tatizo kodi...kuna wahindi wanayajua machaka mengi ya Benz SA wanauza Benz zimenyooka sana hapo Borgsburg na bei nzuri tu..
Hehehee, kwa nini NBC specifically na sio Azania au Mkombozi?Tukakope NBC tukalifukue huko Munich
Duuu! Safi saana. Jamaa yuko vizuri. Hilo dude limetulia saana. Yaani huyo kama akilitunza vizuri, 10yrs zijazo bado akipita nalo litaitwa new model ππNina rafiki angu amenunua Benz GLE brand new mwaka jana.
Lile dude ni balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bank yetu mkuu unajizolea tu mikipo ya magari huko Azania tabu tupuHehehee, kwa nini NBC specifically na sio Azania au Mkombozi?
Basi huko safi saana. Duu!Hii bank yetu mkuu unajizolea tu mikipo ya magari huko Azania tabu tupu
Unavonung'unika aisee Nenda kanunu New bland moyo wako utulia, maana unapunjwa na akina manji, dewji πππKwa kweli watu wanaonunua brand new cars (wengi tunaziita 0 km) wanafaidi saana. Yaani unakuta gari ni safi, kila kitu kiko on point, miguu imekaa vizuri, seat ni safi, rangi imetulia hakuna scratch hata moja, taa zote zinang'ara, yaani mpaka tairi ni mpya. Sasa ukute ni gari la Mjerumani kama hilo E class nililobahatika kuliona ndio usipime. That was my first time around a brand new car, ila nimegundua kwa kweli sisi tunaonunua used cars za miaka 10 iliyopita na zaidi, tunamiss vitu vingi saana.
Hehehee. One day kitaeleweka aise. Maana hii inabidi kujipa moyo kama wale jamaa wa masoko ya mtandao.Unavonung'unika aisee Nenda kanunu New bland moyo wako utulia, maana unapunjwa na akina manji, dewji πππ
Nikiliangalia silimalizi.Duuu! Safi saana. Jamaa yuko vizuri. Hilo dude limetulia saana. Yaani huyo kama akilitunza vizuri, 10yrs zijazo bado akipita nalo litaitwa new model ππ
Hii machine ukiichek befoward inagonga $35,000 na mailage kama 90,000km kudadekiG wagon mpya hiyo eeh! Safi saana. Enzi hizo walikuwa nazo maaskofu. Siku hizi naona wamehamia kwenye Land Cruiser.
Huyo mzee baba unamfananisha na Landrove'109?undefinedinakaa kama landrover 109
Jamaa amewasaidia sana aiseeKuna jamaa wa YouTube, Doug DeMuro, aliwaponda saana kwenye channel yake, naona wakafanya maboresho. Ametoa video nyingine na ku appreciate hizo changes.