Asikwambie mtu, kumiliki a Brand New Mercedes Benz is so much fun

Tatizo Bei inasimamia kucha mkuu cheki hiyo ya mwaka 1997 inagonga $25,000
 
Aisee itakua ni hatari Arusha niliyaona hayo yapo matatu tuu na ubishi wao wote...
Kuna kipindi maaskofu walikuwa wanayapenda saana hayo madude. Siku hizi sijui imekuaje. Naona wengi wana Land Cruisers.
 
Kuna kipindi maaskofu walikuwa wanayapenda saana hayo madude. Siku hizi sijui imekuaje. Naona wengi wana Land Cruisers.
Ok kwa wao sio mbaya Kodi hawalipi nadhani wameona Cruiser ni bora zaidi na ina mapumziko pia...
 
Yes. Maana naamini Land Cruisers ni reliable zaidi kuliko hizo gari.
Mkuu ukiziona unaona kama ni ngumu fulani ila zipo comfort sana kuliko unavyodhania na pia balance ya hiyo G huwezi kufananisha na aina nyingi za magari limetulia bara barani utadhani jiwe hiyo ndugu zake ni Porsche Cayanne sio Cruiser...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…