Asikwambie mtu, Premio tamu

Asikwambie mtu, Premio tamu

Ziko vizuri sana. Kuliko kununua ile ndogo bora ya 1990cc. Ulaji wa mafuta sijaona tofauti yake. Engine kubwa ni nyepesi zaidi kwene mwendo.
Hiyo engine ya 1990cc si ndio D4 ambayo inahitaji Premium fuel?
Kwamba ukiweka fuel ya kawaida zinaiharibu engine taratibu, naona wadau wanazilalamikia na maintenance zake pia.
Haya mambo pia wewe hujayaona?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Sio D4, Mbona ziko nyingi tu? Naongea ninachokifahamu. Ninayo ina miaka karibia nane sasa.(engine 1ZZ-FE), Fuel consumption iko vizuri sana. Maintenance yake nu kawaida sana. Fanya service kwa wakati, tumia vilainishi bora, n.k. Utaipenda!
 
Una mix mambo wewe.

Mara 1ZZ-FE, Mara siyo D4, Mara Cc1990, Mara 12Km/L mjini.

Hayo yote unayazungumzia kwenye engine moja. Huenda gari yako ina D4 na hujui kama ni D4.
 
Pole sana babu
Screenshot_20220705-194113.jpg
 
Shepu ya I.S.T uwa siipendi kinoma asa kule nyuma. lakin wengi wanaipenda wanasemaga haili mafuta. sasa sijui inakula nin
 
Back
Top Bottom