NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 807
- 1,164
Tuwekee nyama 1litre kwa km ngapi?Ziko vizuri sana. Kuliko kununua ile ndogo bora ya 1990cc. Ulaji wa mafuta sijaona tofauti yake. Engine kubwa ni nyepesi zaidi kwene mwendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee nyama 1litre kwa km ngapi?Ziko vizuri sana. Kuliko kununua ile ndogo bora ya 1990cc. Ulaji wa mafuta sijaona tofauti yake. Engine kubwa ni nyepesi zaidi kwene mwendo.
Kwa highway - 1L ni 16kmTuwekee nyama 1litre kwa km ngapi?
ThanksKwa highway - 1L ni 16km
Kwa mjini - 1L ni 12km
Hiyo engine ya 1990cc si ndio D4 ambayo inahitaji Premium fuel?Ziko vizuri sana. Kuliko kununua ile ndogo bora ya 1990cc. Ulaji wa mafuta sijaona tofauti yake. Engine kubwa ni nyepesi zaidi kwene mwendo.
Sio D4, Mbona ziko nyingi tu? Naongea ninachokifahamu. Ninayo ina miaka karibia nane sasa.(engine 1ZZ-FE), Fuel consumption iko vizuri sana. Maintenance yake nu kawaida sana. Fanya service kwa wakati, tumia vilainishi bora, n.k. Utaipenda!Hiyo engine ya 1990cc si ndio D4 ambayo inahitaji Premium fuel?
Kwamba ukiweka fuel ya kawaida zinaiharibu engine taratibu, naona wadau wanazilalamikia na maintenance zake pia.
Haya mambo pia wewe hujayaona?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Engine ni 3SHiyo engine ya 1990cc si ndio D4 ambayo inahitaji Premium fuel?
Kwamba ukiweka fuel ya kawaida zinaiharibu engine taratibu, naona wadau wanazilalamikia na maintenance zake pia.
Haya mambo pia wewe hujayaona?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kwenye makaratasi sawa..Kwa highway - 1L ni 16km
Kwa mjini - 1L ni 12km
Una mix mambo wewe.Sio D4, Mbona ziko nyingi tu? Naongea ninachokifahamu. Ninayo ina miaka karibia nane sasa.(engine 1ZZ-FE), Fuel consumption iko vizuri sana. Maintenance yake nu kawaida sana. Fanya service kwa wakati, tumia vilainishi bora, n.k. Utaipenda!
Aiseee inaweza kuwa sawa.Kwenye makaratasi sawa..
Kwa uhalisia huwezi kupata km 12 mjini kwa injini ya cc 1900..
Foleni, breki za hapa na pale..speed 20...
Siyo kitu rahisi
Na uzi wa ukichaa wa umiliki wa kwanA wa gari umo humu kitambo sanaNakuona mkuu umeipaki mashine yako karibu kabisa na dirisha ili kila saa uwe unaitupia jicho.Hizo ni raha za gari mpya,hata kama ni used,zile siku za mwanzoni huwa inakuwa tamu sana,hongera ...
Mkuu hiyo 8.9M hadi TRA umemalizana nao kabisa? Samahani kwa usumbufu.Pole sana babuView attachment 2281949
Ndiomana na mimi nilihisi ni D4 kwa jinsi alivyoisifiaUna mix mambo wewe.
Mara 1ZZ-FE, Mara siyo D4, Mara Cc1990, Mara 12Km/L mjini.
Hayo yote unayazungumzia kwenye engine moja. Huenda gari yako ina D4 na hujui kama ni D4.
Baki na ubishi wakoUna mix mambo wewe.
Mara 1ZZ-FE, Mara siyo D4, Mara Cc1990, Mara 12Km/L mjini.
Hayo yote unayazungumzia kwenye engine moja. Huenda gari yako ina D4 na hujui kama ni D4.
Eeh Combination ya D-4 na CVT inaleta economy nzuri sana. Gari inaweza fikisha 12km/l safi kabisaAiseee inaweza kuwa sawa.
Premio ya Cc1990[AZT240] inakula vizuri kuliko Premio ya Cc1790[ZZT240].
Kwa sababu kubwa mbili.
1. D4
2. Super CVT
Hio hio CVT ikiwekwa na 1ZZ-FE inatoa 14km/lAiseee inaweza kuwa sawa.
Premio ya Cc1990[AZT240] inakula vizuri kuliko Premio ya Cc1790[ZZT240].
Kwa sababu kubwa mbili.
1. D4
2. Super CVT
Ndo haijawekwa😁Hio hio CVT ikiwekwa na 1ZZ-FE inatoa 14km/l