Hapo kitambo mitaa ya MwanaNyamala kulikuwa na mapori na wakabaji, kwa hiyo kina mama wa kizaramo walivyokuwa wakifika mitaa hiyo wakawa wanawaambia watoto wao "Mwana Nyamala" maana yake "Mtoto Nyamaza" ili wasisikiwe na maharamia.
Kijito Nyama inawezekana ina uhusiano na Mwana Nyamala, kwamba unavuka kijito ukifika upande wa pili huko "Mwana nyamala" Nyamaa == Kijito Nyamaa mwisho ikawa Kijitonyama.
Mtoni kwa Aziz Ali pamepata jina kutokana na mkazi mmoja alwatani sana marehemu Aziz Ali. Mzee huyu alifariki miaka kadhaa iliyopita kukawa na kesi kubwa sana ya urithi kati ya wanawe.
Wana JF,
Ningependa kujua maana na asili ya majina ya sehemu mbalimbali za nchi yangu Tanzania (just curiosity).
1. Tanganyika
2. Zanzibar
3. Dar es Salaam (bandari ya salama?)
4. Morogoro/Kilimanjaro/Ruvuma/Tanga na mikoa mingine
5. Pemba/Unguja/Mafia na visiwa vingine
6. Ilala/Temeke/Kinondoni na wilaya nyingine
Kama kuna anayejua asili/maana ya jina la sehemu hizo (ama nyingine) naomba atoe darsa hapa.
Roy,
Asante kwa neno BOMA. Nilikuwa sifikirii kuwa ni neno la kizungu. Utasikia hata zizi wengine husema BOMA la Ng'ombe.
SERENGETI:- Ni Ardhi isiyo na mwisho (Endless land). Wamasaai walitembea na mifugo yao bila ya kufika mwisho. Hivyo wakaiita hiyo Mbunga Serengeti.
Kilimanjaro
Kwamba wazungu walipouliza jina la ule mlima wachaga wakasema Kilelema kyaro (maana yake kilichoshinda wengi), wazungu wakaandika Kilimanjaro... (Hii naomba kama kuna mtu anaweza kuthibitisha.
Manyara
Inatokana na minyaa?
BOMA
British Overseas Management Administration (hii niliipata kwa bwana mmoja wa makumbusho ya pale BwagaMoyo)
BTW: Nitaanza kuiita Carrier Corps badala ya Kariakoo....asante Kisura na Kitia ila historia mlizotoa zinatofautiana. But thanx.

Uongo ni upi hapo kwa mfano?Muongo wewe, nenda kwenye google upate maana yake halisi.
Kumbe mzungu ni chanzo cha jina makongolosiAisee
Aisee!Nadhani tuliwaamini sana hata Mbeya,sehemu moja kule Chunya mzungu alisema making a loss!wao wakasema amesema Makongolosi!Ndo jina mpaka sasa!
Kumbe aliye uwa na kuuwawa na polisi ni simbaHamza (also spelled as Hamzah, Hamsah, Hamzeh or Humza; Arabic: حمزة, standardized transliteration is Ḥamzah) is an Arabic masculine given name in the Muslim world. The meaning of the name Hamza is "lion”, “steadfast", "strong", and “brave".
Pronunciation: ˈħæmzæ, ˈħamza, ˈħamze, ˈħɛmzæ, ˈʜæmzɐ, ˈʜɑmzɐ
Meaning: lion, strong, steadfast
Variant form(s): Humza, Hamzah, Hamzeh, Hamsah
View attachment 1914578
Uongo ni upi hapo kwa mfano?
Siku zinakwenda sana, leo hii soko la kariakoo is no more..Chekelei - Check the Railway
Chekereni - Check the Train
Kariakoo - Carrier Crops (?)
Kilimanjaro - Kilima Kyaro (?)
Lugalo - Alipopigwa Jerumani Emily Von Zelewisky na Jeshi la Mkwawa
Same - Mzungu kila akienda hapo alikuwa anaona kile kitu kiko vilevile (?)
Simba - Kuna mtu aliliwa na simba katika hiyo barabara pale Chuo Kikuu
Lukuledi Lindi huko ni mto na eneo Nachingwea hukoIpo wapi mkuu? Ila itakuwa karibu na mkoa huo
Asante kwa kunijuza nilisahauLukuledi Lindi huko ni mto na eneo Nachingwea huko
😂7. ILALA
Jina hili linatokana na makaburi ya pale Karume ambako hakukua na mengine hivyo kila alasiri watu walikuwa wakienda kuzika na wimbo wa Haila Illallah! na mwishowe mahala hapo pakaanza kuitwa Ilala.
hii transformation🙌18 . MAKONGOLOSI
Inatokana na neno la kiingereza MAKING LOSS - Zamani waingereza walipata hasara kutokana na shuguli za uchimbaji wa madini eneo la Makongolosi wilaya ya Chunya mbeya ndipo eneo hilo kubatizwa jina hilo .
Noma sanahii transformation🙌
🤣🤣🤣🤣