Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Hapo kitambo mitaa ya MwanaNyamala kulikuwa na mapori na wakabaji, kwa hiyo kina mama wa kizaramo walivyokuwa wakifika mitaa hiyo wakawa wanawaambia watoto wao "Mwana Nyamala" maana yake "Mtoto Nyamaza" ili wasisikiwe na maharamia.

Kijito Nyama inawezekana ina uhusiano na Mwana Nyamala, kwamba unavuka kijito ukifika upande wa pili huko "Mwana nyamala" Nyamaa == Kijito Nyamaa mwisho ikawa Kijitonyama.

Mtoni kwa Aziz Ali pamepata jina kutokana na mkazi mmoja alwatani sana marehemu Aziz Ali. Mzee huyu alifariki miaka kadhaa iliyopita kukawa na kesi kubwa sana ya urithi kati ya wanawe.

Kwa Remmy
 
Wana JF,
Ningependa kujua maana na asili ya majina ya sehemu mbalimbali za nchi yangu Tanzania (just curiosity).

1. Tanganyika

2. Zanzibar
3. Dar es Salaam (bandari ya salama?)
4. Morogoro/Kilimanjaro/Ruvuma/Tanga na mikoa mingine
5. Pemba/Unguja/Mafia na visiwa vingine
6. Ilala/Temeke/Kinondoni na wilaya nyingine
Kama kuna anayejua asili/maana ya jina la sehemu hizo (ama nyingine) naomba atoe darsa hapa.

Sinza kwa Remmy
 
Roy,
Asante kwa neno BOMA. Nilikuwa sifikirii kuwa ni neno la kizungu. Utasikia hata zizi wengine husema BOMA la Ng'ombe.

SERENGETI:- Ni Ardhi isiyo na mwisho (Endless land). Wamasaai walitembea na mifugo yao bila ya kufika mwisho. Hivyo wakaiita hiyo Mbunga Serengeti.

Boma (enclosure)
Language
Watch
Edit
For other uses, see Boma (disambiguation).
A boma is a livestock enclosure, community enclosure, stockade, corral, small fort or a district government office and community used in many parts of the African Great Lakes region, as well as Central and Southern Africa. It is particularly associated with community decision making. It is incorporated into many African languages, as well as colonial varieties of English, French and German.
 
Kilimanjaro
Kwamba wazungu walipouliza jina la ule mlima wachaga wakasema Kilelema kyaro (maana yake kilichoshinda wengi), wazungu wakaandika Kilimanjaro... (Hii naomba kama kuna mtu anaweza kuthibitisha.
Manyara
Inatokana na minyaa?

BOMA
British Overseas Management Administration (hii niliipata kwa bwana mmoja wa makumbusho ya pale BwagaMoyo)

BTW: Nitaanza kuiita Carrier Corps badala ya Kariakoo....asante Kisura na Kitia ila historia mlizotoa zinatofautiana. But thanx.

Huyo ni muongo, nenda kwenye Google
 
Muongo wewe, nenda kwenye google upate maana yake halisi.
 
Aisee

Aisee!Nadhani tuliwaamini sana hata Mbeya,sehemu moja kule Chunya mzungu alisema making a loss!wao wakasema amesema Makongolosi!Ndo jina mpaka sasa!
Kumbe mzungu ni chanzo cha jina makongolosi
 
Hamza (also spelled as Hamzah, Hamsah, Hamzeh or Humza; Arabic: حمزة‎, standardized transliteration is Ḥamzah) is an Arabic masculine given name in the Muslim world. The meaning of the name Hamza is "lion”, “steadfast", "strong", and “brave".
Pronunciation: ˈħæmzæ, ˈħamza, ˈħamze, ˈħɛmzæ, ˈʜæmzɐ, ˈʜɑmzɐ
Meaning: lion, strong, steadfast
Variant form(s): Humza, Hamzah, Hamzeh, Hamsah

1630237453514.png
 
View attachment 1914578
Kumbe aliye uwa na kuuwawa na polisi ni simba
 
Uongo ni upi hapo kwa mfano?

Hicho kitefu cha BOMA uliingizwa chaka, ndiyo maana nimekupa maana halisi ya BOMA. Hiyo siyo acronym ni neno la kawaida tu kama ambavyo nimekuandikia.
 
Unajua sababu ya makao makuu ya wilaya kuitwa Bomani?
 
Chekelei - Check the Railway
Chekereni - Check the Train
Kariakoo - Carrier Crops (?)
Kilimanjaro - Kilima Kyaro (?)
Lugalo - Alipopigwa Jerumani Emily Von Zelewisky na Jeshi la Mkwawa
Same - Mzungu kila akienda hapo alikuwa anaona kile kitu kiko vilevile (?)
Simba - Kuna mtu aliliwa na simba katika hiyo barabara pale Chuo Kikuu
Siku zinakwenda sana, leo hii soko la kariakoo is no more..
 
Back
Top Bottom