Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 915
- 54
Tunapoelekea miaka 50 ya uhuru, ni vyema tukajua maana ya majina ya maeneo yetu, kila mmoja alipo atueleze maana ya jina la eneo mahali alipo Mimi niko Mwananyamala, (MwanaNyamaza usije ukaliwa na simba ) maana kulikuwa na pori lenye simba wengi. Na wewe je ulipo pana maana gani?