Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

  1. Dar Es Salaam-Bandar u salam-Bandari Salama
  2. Kariakoo -Carier crop-wabebaji wa mizigo sokoni kariakoo waswahili wakashindwa na kuamua kuunga
  3. Msasani-Musa Hassan-Mnyapara aliyekuwa akisimamia mashamba ya katani ambaye asili yake ni Ntwala hivyo wamakonde wengi wakaamua kuja kumuomba kazi na kwa kwa kuwa walikuwa hawajui anapoishi waliuliza kwa Mucha Hachani....Msasani imeungwa
  4. Mikocheni-Michael Chain Mmiliki wa mashamba ya katani yalliyokuwa yanaanzai palipo na Daraja la John Selander (Salenda Bridge)
  5. Kawe-actaully ni Cow Way, barabara maarfuru kwa kusagwa ng'ombe kufikishwa hapo Tangaynyika Packers kwa machinjo hence Cow-way (kawe imeungwa)
  6. Kigogo (ni kigogo kabisa cha kuvuka pale kigogo mwisho kila jumaosi walikuwa wanakusnayika kukiweka.."jamani leo siku ya kigogo"...(leo pamejengwa daraja)
  7. Tabata...Muarabu aliyekuwa ananunua korosho kwa mali kauli na kuwaahdi wachuuzi waje siku fulani watalipwa kwa kuwaambi "hapana tabu tabata (utapata pesa yako) akabatizwa jina la Mwarabau Tabata....
  8. Ilala..linatokana na makaburi ya pale Karume ambako hakukua na mengine hivyo kila alasiri watu walikuwa wakienda kuzika na wimbo wa Haila Illallah!!! (ILALA)
  9. UBUNGO, bungoni, MIKOROSHINI NA MABIBO NI MITI MINGI YA MATUNDA HAYO KUPATIKANA MAENEO HAYO
  10. Kunduchi....mtu aliyeonekana kutembea uchi maeneo hayo.............
  11. .........................................................................................................
  12. .............................................................................................................
  13. ............................................................................................................
Chanzo:Halmashauri ya Jiji la DSM-hISTORIA

Asante kwa kijistori kizuri. Ila heb check kama umefanya spelling error kidogo hapa: Kariakoo -Carier crop
 
Kwa azizi ali, ni nina la mzee maarufu pale anaitwa Azizi Ally sasa ni marehemu
 
  1. Dar Es Salaam-Bandar u salam-Bandari Salama
  2. Kariakoo -Carier crop-wabebaji wa mizigo sokoni kariakoo waswahili wakashindwa na kuamua kuunga
  3. Msasani-Musa Hassan-Mnyapara aliyekuwa akisimamia mashamba ya katani ambaye asili yake ni Ntwala hivyo wamakonde wengi wakaamua kuja kumuomba kazi na kwa kwa kuwa walikuwa hawajui anapoishi waliuliza kwa Mucha Hachani....Msasani imeungwa
  4. Mikocheni-Michael Chain Mmiliki wa mashamba ya katani yalliyokuwa yanaanzai palipo na Daraja la John Selander (Salenda Bridge)
  5. Kawe-actaully ni Cow Way, barabara maarfuru kwa kusagwa ng'ombe kufikishwa hapo Tangaynyika Packers kwa machinjo hence Cow-way (kawe imeungwa)
  6. Kigogo (ni kigogo kabisa cha kuvuka pale kigogo mwisho kila jumaosi walikuwa wanakusnayika kukiweka.."jamani leo siku ya kigogo"...(leo pamejengwa daraja)
  7. Tabata...Muarabu aliyekuwa ananunua korosho kwa mali kauli na kuwaahdi wachuuzi waje siku fulani watalipwa kwa kuwaambi "hapana tabu tabata (utapata pesa yako) akabatizwa jina la Mwarabau Tabata....
  8. Ilala..linatokana na makaburi ya pale Karume ambako hakukua na mengine hivyo kila alasiri watu walikuwa wakienda kuzika na wimbo wa Haila Illallah!!! (ILALA)
  9. UBUNGO, bungoni, MIKOROSHINI NA MABIBO NI MITI MINGI YA MATUNDA HAYO KUPATIKANA MAENEO HAYO
  10. Kunduchi....mtu aliyeonekana kutembea uchi maeneo hayo.............
  11. .........................................................................................................
  12. .............................................................................................................
  13. ............................................................................................................
Chanzo:Halmashauri ya Jiji la DSM-hISTORIA

1. Kwa kuongezea tu kuhusu Dar as Salaam, ni jina linalopatikana ndani ya Qur'an Surat Yunus aya ya 25 (Yunus 10:25) na linamaanisha Nyumba (Makazi, Dar = home) ya Amani. (Abode of Peace) na si "Bandari ya salama" kama wengi wanavyotaka iwe.

Sahih International

And Allah invites to the Home of Peace and guides whom He wills to a straight path

Swahili
Na Mwenyezi Mungu anaita kwendea Nyumba ya Amani, na anamwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka.
[FONT=me_quran]وَاللَّهُ يَدْعُو إِلَىٰ دَارِ السَّلَامِ وَيَهْدِي مَن يَشَاءُ إِلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ
[/FONT]​

Baadhi ya nchi zenye majina ya miji yenye jina hilo ni pamoja na Jerusalem (maana yake ni hiyohiyo) na Dar us Salaam, Brunei.
 
we hujielewi.kwanza hapa c mahala pake kuweka huu uongo wako,pili kama unataka kukanusha maneno yangu basi uje na majina asilia ya sehemu hizo kabla ya kubatizwa kua na hayo majina mapya.
Hujasomeka kabisa hapa
 
kigamboni imetokana na jina la mzungu KEAGAN BONNY

Hii ya Keagan Bonny na ile ya Michael Chain nazitilia maswali.

Ninavyojua mie "Mikoche" ni aina fulani ya miti iliyokuwepo kwa wingi maeneo ya Mikocheni.
 
ROMBO. Dada zetu walikuwa wanapenda sana ule mchezo wa waliooana. chaajabu wakawa hawaridhiki. wageni walipofika kule wakakuta vile wakasema. hawa wasichana ni waroho wa Mb....... so wote wa kule ni Waroho wa .....oo. mpaka leo ni Warombo

Duh,aksante..
 
kuna anayefahamu buguruni-malapa, kimara-temboni,changanyikeni,makongo,goba,tegeta na bunju vilitokana na nini?

Buguruni malapa niliwahi kusikia kuwa kulikuwa na mzee mmoja maarufu sn hapo buguruni alikuwa anaitwa malapa so ndio ikawa buguruni malapa.
 
Majina mengi ya vitongoji yanatokana na majina ya wazawa wa hapo au vitu asili mfano
1.Tandale kwa Tumbo--Kuna mzee aliishi maeneo ya hapo miaka ya 60's na alikua na bar na alikua na bonge la kitambi(Tumbo) amebaki mtoto wake m1 tu ndio anaishi kwenye nyumba ya baba yake.

2.Kawe Ukwamani---Pale kitongoji kulikua na wakzi wazaramo kutoka ukwama ambao asili yao ni mabwepande ndio walikua wenyeji wa kwanza pale kawe na ndio jina la ukwamani lilipoanzia(wakwama)

3.Kwa Bonge:Kuna Jamaa fundi magari ni mnene kupita kiasi zaidi ya wacheza sumo na jina lake ni Bonge

Pendelea kuangalia Channel 5(EATV) zembwela anafanya vipindi kama hvyo
 
kawe-cow road!kulikuwa na barabara ya ng'ombe kwenda kiwandani wazungu wanatamka cow road wabongo wanachakachua kawe!

Tilly,
Ni COW WAY (Kawe) sio Cow road. Ilikuwa njia ya ng'ombe waliokuwa wanapelekwa pale Tanganyika Packers ambacho kilikuwa kiwanda cha nyama kwa wakati huo.
 
tangi-bovu...zamani kulikuwa na tangi kubwa bovubovu hivi...!

Tangi hilo la chuma limedondoka juzi juzi tu, nadhani 2000~. Nguzo zake za zege bado zimesimama, pembeni ya zile nguzo za umeme
 
Majina mengi humu naona waanzilishi ni Wzungu, Wahindi, Wachina, Waarabu: hivi hakuna mbantu hata mmoja aliyeanzisha jina wenzie wakalifata? Just curious
 
ILALA- Hailalallah... Waislamu walikuwa wakisema Hailallah... yaani mola tu anayepaswa kuabudiwa.
 
Back
Top Bottom