Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Kilimanjaro- Kilimakyaro wazungu walikuwa wakishindwa kusema Kilimakyaro wakasema Kilimanjaro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangi-bovu...zamani kulikuwa na tangi kubwa bovubovu hivi...!
I stand to be corrected, Kariakoo inatokana na neno Carrier Corps. Hii ilitokana na jinsi walivyokuwa wakiitwa askari wa Kibantu ambao walipigana vita vya pili vya dunia kwa upande wa mwingereza. Hilo eneo lilianzishwa baada ya wao kurudi kutoka vitani
Kariakoo-Career Call sehemu ya makuli kupata ajira
Msasani-Kulikuwa na mwarabu akiitwa Mussa Hasan aliyekuwa na duka pekee hapo kijijini
Mwana nyamala-Kizaramo mtoto nyamaza,ambapo mama alikuwa anambembeleza mtotot katikati ya msitu uliokuwa na Simba hapo ilio mwananyamala leo.
Mikocheni-kulikuwa na miti mingi sana ya Mikoche ambayo hufanana na minazi
Shekilango -Sheikh kilango alkw shkh maarufu,Bububu zanzibar-mlio wa treni bububu za makaa ya mawe enzi hizo treni ilikuwa inakuja dar,Bagamoyo-Bwagamoyo,sinza kwa remy-mwnmzk remy ongala alkw anaishi,Kamanyola-mzee kamanyola aliishi nyumba barabarani,nyama ya kitimoto-baa ya kwanza maeneo ya mwenge jirani na maghorofa ya customs ilikuwa imeandkw getini kitimoto ndo jina lilipoanzia hapo masheikh ubwabwa waliijia juu baa kuwepo mtaani kwao ikahamishwa!
Buguruni kwa mnyamani.Banana bar= ukonga banana, ukonga mombasa- mombasa bar, 'Kimara stop over-stopover bar, kimara matangini- matanki ya maji, kimara baruti- ghala la baruti, magomeni mapipa- hifadhi ya mapipa ya lami wakati wa ujenzi wa morogoro rd. Temeke aziz ali- makao ya RPC wa kwanza wa dsm Aizi ali
Mkuu hii kama umejitungia!!!kinondoni kwa manyanya!manyanya alikuwa mzee maarufu sana alifungua bar maeneo hayo!cha kushangaza bar hiyo iliandikwa kinondoni bar ila wateja bila kulazimishwa waliita kwa manyanya!!ilikuwa pembeni ya mwanamboka petrol station karibu na casablanca bar siku hizi!....Kinondoni kulikuwa na kipisi cha nondo barabarani, ukipita kwa miguu lazima ujikwae, ukipita na gari pancha
upo uzi humu ndani utafute kwa bidii, unaweza kunitafuta kwa ku-pm but at a feeHabari wana JF,mwenye uelewa na chanzo,vyanzo vya majina ya sehem mbalmbal hapa dar anieahamishe kama k'koo,kinondon,mikochen,msasan,mbagala,bugurun nk. Si mbaya ukieleza hata maeneo ya mikoan.
Nawasilisha ....