Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Tabata ni kiswahili cha kiarabu(hawana matamshi ya U na P kwa kusema UTAPATA.Kwa asilimia kubwa ni makosa ya matamshi kutokana na lugha pia uwepo wa miti ama vitu kadhaa!Msasani - Musa Hassan , Kariako - Carrier corps, Tabata - Utapata (mhindi) ,Ubungo - Mibungo mingi,Mabibo - Miti ya mibibo